donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Daah aisee ntapoteza apps kibao mkuu ngoja niendelee kukomaa kibshHapana mzee... kwa lugha ya kawaida huwa mnasema kuiflash tuseme.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah aisee ntapoteza apps kibao mkuu ngoja niendelee kukomaa kibshHapana mzee... kwa lugha ya kawaida huwa mnasema kuiflash tuseme.
Poa poa MkuuKiongozi hilo litawezekana tu endapo tv inauwezo au kifaa unachotumia kina support hiyo ishu. Kwa uzoefu wangu, subtitle nyingi za kudawnload ktk screen huwa hazisomeki vzr labda uangalie kupitia pc.
Tumia mobile trackermkuu nnaomba mnijuze nifanye vipi ili niweze kuona sms za kawaida yaan inbox anazotumiwa mtu mwengine
Same apply to me,Wakuu,
Nimejaribu kutumia exploits za aina zote kwenye device yangu ya galaxy note 2 kuroot bila mafanikio. Nimetumia framaroot,toweltower,kingroot,kingo root etc. Bila mafanikio, ntawezaje kuiroot hii simu yangu?
Swali jingine,
Natumia cm security lakini kuna tatizo hili la malware na adwares mf. Zile popups ambazo ziko annoying kwa mf unashangaa lipage linajifungua linasema your phone has been infected with (4) virus... yaan hii kitu inakera balaa, mara ukiwa unachek muvi unashangaa internet au chrome inajiautostart inakupeleka kwenye links zisizoeleweka yaan matatizo ma2pu. Naomba msaada wakuu
Mkuu hii cf auto root haina app nyenzio ambayo unatakiwa udownload pamoja? vp steps zake ni kama kingoroot tu au hii iko taofautiThe best rooting method iliyosalia hapo ni cf-auto root ... ikikataa hyo labda ungetutajia your exact model ya number ya hyo note 2 yako. Wakat mwingine huwa zinawekwa cooked roms ambazo haziendani na id halis ya simu husika. Mfano,original model ya simu inaweza ikawa gt-e250L lakin ndan ikaonyesha gt-n7100 obviously hapo kuroot kunaweza kukaleta shida.
Na kuhusu hzo popups the best way ni kuipa tu os nyngne maana hapo tayar hzo malware zmeweka miziz yake kwny system... na zmeshajpa priority ya kuwa sehemu ya system.
Hujaeleweka hapa mkuuHangouts za messages (SMS) inatoa muonekano mzuri sana.
Messages za kawaida zinakuwa kama Messages za whatsapp.
EditedHujaeleweka hapa mkuu
Nimeicheki naona iko poa sana, vip huwezi ku edit ukaweka wallpaper yako?Edited
unapotaka kudownload subtitles unatakiwa ujue ni aina gani ya movie unayotaka iwe na subtitle kuna moviez au series za blueray....hdtv....fum....msd.. ect.....kwhyo unachotakiiwa ufanye ili subtitle unayodownload iendane na movie yko unatakiwa ujue ni movie ya aina gani unayo angaliaa...kw mfano unaweza ukakuta labda unacheki movie inaitwKiongozi hilo litawezekana tu endapo tv inauwezo au kifaa unachotumia kina support hiyo ishu. Kwa uzoefu wangu, subtitle nyingi za kudawnload ktk screen huwa hazisomeki vzr labda uangalie kupitia pc.
cjui km maelezo yng yataweza kukuelewesha lakini kuroot simu inshort ni kitendo cha kuitoa warranty simu yko kw kampunu hucka....simu zko km zmewekwa lock na kampuni hucka..eg samsung tecno...yaan znafanya kazi zinazotambuliwa na kampuni hucka tu....unaporoot cm yko unakua umeiondoa ktk umiliki wa kampuni hucka kwa kuiwezesha kufanya program nyingi nje ya kampuni(na ndomaana program nyingi znazohtaj kuroot cm hazpatkani playstore kwsbbu hazna legal authorization ingawa zpo znapopatikana)....ss faida ya kuroot unapata program nyingi nzuri ambazo hazjawa legalky authorized by a manufacture wa kampuni yko....hvo bs vle vle inaweza ikakupa hasara km ukapata program labda ikaweza ku affect cm yko.. kumbuka tu unaporoot cm yko ata km umenunua leo dukani unakua umeiua warrnty ykeMsaada jamani tangu uzi huu unaanza nimejifunza na kuongezea vingi sana.Ila kunakitu tangu awali nakiona na sikielewi.Hivi kuroot cm ndiyo nn? Na kunafaida gani? Na inafanyikaje? Naomba somo tafadhali kuhusu "root"
cjui km maelezo yng yataweza kukuelewesha lakini kuroot simu inshort ni kitendo cha kuitoa warranty simu yko kw kampunu hucka....simu zko km zmewekwa lock na kampuni hucka..eg samsung tecno...yaan znafanya kazi zinazotambuliwa na kampuni hucka tu....unaporoot cm yko unakua umeiondoa ktk umiliki wa kampuni hucka kwa kuiwezesha kufanya program nyingi nje ya kampuni(na ndomaana program nyingi znazohtaj kuroot cm hazpatkani playstore kwsbbu hazna legal authorization ingawa zpo znapopatikana)....ss faida ya kuroot unapata program nyingi nzuri ambazo hazjawa legalky authorized by a manufacture wa kampuni yko....hvo bs vle vle inaweza ikakupa hasara km ukapata program labda ikaweza ku affect cm yko.. kumbuka tu unaporoot cm yko ata km umenunua leo dukani unakua umeiua warrnty yke
inategemea unatumia cm gn zpo njia nyng kulingana na cm unayotumia....ila ni vizuri ungegoogle kw mfno..how to root **** (jina la simu)... watakuletea procedure moja bdl ya nyngneYaani nimekuelewa mpaka basi so how to root?
Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
Android Phone without ROOT ACESS is like an African woman not bearing childrenYaani nimekuelewa mpaka basi so how to root?
Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
Mkuu hayo yote naelewa shida inakuja katika ku display(layout) ukiweka kwenye Tv baadhi huwezi soma vizuri hiyo subtitle hata kama inaendan na movie husika unakuta maandishi yanaachana sana ndio maana nikashauri labda aangalie kwa pc au simu ile subtitle husomeka vizuri.unapotaka kudownload subtitles unatakiwa ujue ni aina gani ya movie unayotaka iwe na subtitle kuna moviez au series za blueray....hdtv....fum....msd.. ect.....kwhyo unachotakiiwa ufanye ili subtitle unayodownload iendane na movie yko unatakiwa ujue ni movie ya aina gani unayo angaliaa...kw mfano unaweza ukakuta labda unacheki movie inaitw
a #true_love_webrip.720 ....kwhyo ss iyo web rip ndo aina ya subtitle utakayoitafuta iki iweze kuendana saw
a na movie ya aina iyo....na VLC ndo media player nayoijua ambayo unaeza ukaadd subtitle uliyoidownload ktk movie yko......website nzuri kwa ajili ya kudownload subtitle ni [HASHTAG]#subscene[/HASHTAG] ukishafungua unasearch movie yko ztakokuja subs za movie yko utachagua ya aina ya movie yko na kuipakua