Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mie nataka ya kubadili maneno yawe mfumo wa picha... nataka niwe natoa morning speech kila siku mfumo wa jpeg(picha ambayo hata kwa bluetooth naituma) cjui viillle... naombeni apps
 
Wakuu msaada tafadhali. App ipi naweza kuitumia kuchange background ya picha kwnye android smartphone.
 
Hiyo app nimetengeneza mimi ina lugha ya kiswahili pia. Kwa akina dada kufuatilia mzunguko wa hedhi na kujua siku zipi za kuepuka kupata ujauzito au ni siku zipi za kupata ujauzito kwa wale wanaotafuta watoto. Kina kaka pia mnaweza kuwa nayo ujue mzunguko wa mwezio unaendaje. Na mengine kibao...
 
Mkuu App yako ni nzuri, sababu ni ya nyumbani, na simple kutumia lakini sasa ambacho sijakipenda ni

1. Rangi ulizotumia hasa kwenye calender. Ile blue ya fertility window na blue ya ovolution days kama hazileti muonekano mzuri.

2. Siku za hatari huwa ni siku tatu kabla na siku tatu baada ya ile siku ya kati kati jumla zinakuwa 7 na ongeza siku moja ya kujuhami kabla na baada ya siku ya katikati ( hii ni kwaajili ya wale wanao panga uzazi wa mpango kwa kutumia kalenda) lakini kwenye app naona kama siku za hatari ni chache sana.

Mfano angalia picha hapa chini ni mzunguko wa mtu mmoja katika katika app yako na app inaitwa my calendar
80b22a676f270f3dafdc99c63c72b4cb.jpg

Hapo inaonesha 27 bado yupo safe day ( low chance of getting pregnancy)
17b4fbbf3fae18d5b9c818a70a11c392.jpg

Hapa inaonesha yupo siku ya hatari ( medium chance of getting pregnancy)

3. Kipengele cha pin code hakifanyi kazi.
 
Asante kwa ushauri mzuri siku ni sawa kwa zote kuna moja hapo imeangukia tar 1 scroll next month utaiona, kuhusu hiyo sehemu ya pin imekaa kimakosa wakati na update version ya sasa hivi ilikua ndiyo naifanyia kazi kwenye next update itakua poa.
 
Kuhusu siku za hatari inategemea urefu wa mzunguko wako kwa kawaida wanawake wengi yai hutoka siku 14 hadi 16 (hii inaitwa luteal phase) kabla ya next period yani inamaana kama luteal phase ni siku 14 (ambayo unaweza badili kwenye settings) na mzunguko ni siku 28 basi yai litatoka arround siku ya 14 na huwa linakaa kuanzia masaa 12 hadi 48. Kwa sababu hiyo ndyo maana baada ya yai kutoka kuna siku 1 mbele ya hatari na siku 3 kabla ya yai kutoka coz mbegu za kiume zinauwezo wa kukaa hadi siku 3 kabla ya yai kutoka. Na mfano kama mzunguko ni wa siku 32 yai litatoka siku ya 18 (32-14) ni siyo katikati kwa maana ya siku ya 16
 
Mimi ni mwanaume, hz app si lazima atumie mwanamke
Pia nimejaribu kufanya ulinganifu na kwenye vitabu ndio maana nimefafanua hivyo, hapo kuna uwezekano mwanamke kupata ujauzito ambao hakutarajia, other wise labda kama nikwaajili ya mwanamke kujua tarehe za mzunguko wake.
 
Nitafanyia kazi ushauri wako
Ongera mkuu.... ivii kutengeneza app n free au unalipia..
Na kuna advantage gani watu wakiwa wanatumia app yako? Yaani kuna any payment unapata??
 
Back
Top Bottom