Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Unaipataje mkuu maana naona 1+1-2 tu hapa?
Nenda Chanel Kisha Search Kam Hapa..
5497369bd906812969374099ee4f7ed2.jpg
 
Nataka kudownload kitabu whatsupp,kina Mb92,imeshindikana naomba msaada please!!!
 
Simu yangu haiconect WhatsApp inasema network error lakini web zingine nafungua nimeclear data lakini hakuna tofauti
665ad14f4532d634ac453e32f7122a19.jpg

@hanspol
 
Nashukuru sana kwa mwanzilishi na member wote mliotoa michango yenu nimepata Apk nyingi nzuri nilizozihitaji sana

Ila pamoja na yote Mobdro imenikosha sana, shukrani wakuu
 
Mkuu chief naomba maelekezo ya kuroot android 6.0 marshallow bila kutumia pc
Simu nyingi sana zenye android system 6.0 yan marshmll,huwa system yake ya kuruti ni strong sana,,lazima uanlock bootloder sana sana TECNO , ila ukitumia kingroot,kingoroot utachelewa sana kwanza aikubali,
 
Back
Top Bottom