wilfred alpha
Member
- Apr 13, 2017
- 9
- 3
Habari zajione ndungu naomba nisaidie best program for pc yaku restore smart phone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nice nimepata kitu hapoAndroid Manager...hii app unakonect na laptop mfano ukipoteza unaweza kuingia katika hiyo apps katika ukafuta data zako zote au kuiruhusu sim yako ipige alam muda wote na kukuonyesha location ilipo
The truth spy ....app hii inakusaidia kujua text za rafiki yako au girl wako unai download na kuinstall ktk sim ya mtu unaetaka kujua text zake nikafaili kadogo sana ni mb 1 nazan na hata ukistall kwa victim ye hawezi kukaona
Team Viewer.....app hii inakufanya kushare vitu ving kutoka katika computer na sim unaweza kufungua file za computer kupitia sim yako na ukaangalia katika simu yako file za computer
Sync hii app pia inakusadia kuche file za kwenye computer katika sim yako
Vault hii app unaweza ficha picha zako video,apps zako ,contacts na text na mtu asizione
Translate....hii ni app inakusaidia kubadili lugha mfano unakiswahili unataka kukipeleka katika kiingereza au kiingereza kwenda kichina,kijapan,kifaransa ni wewe tuuuu
Enjoy this few apps.....Out Do ze Does.... tchaooooo
umeijaribu lakin?Yan siyo kuweka rock ya app nataka kuficha file zima kma whasp naficha mtu hasione inawezekana je
huju nae atakua na tatzo la keyboardMkuu lugha hii umetumia translator ama maana sijakuelewa.
Nilikushauri weka launcher, nenda play store pakua launcher utakayo ipenda utakuta ina hiyo option ya ku hide appYan siyo kuweka rock ya app nataka kuficha file zima kma whasp naficha mtu hasione inawezekana je
App ya ku restore simu? Mbona simu yenyewe inaweza kufanya hivyo kwa njia kama tatu hivi. Au una maanisha ku flash.Habari zajione ndungu naomba nisaidie best program for pc yaku restore smart phone
Yah Ku flash nduguApp ya ku restore simu? Mbona simu yenyewe inaweza kufanya hivyo kwa njia kama tatu hivi. Au una maanisha ku flash.
Ku flash simu kwanza kuna njia nyingi mno kulingana na simu au chip ya simu.Yah Ku flash ndugu
.shukran mkuu..![]()
![]()
Hii app inaitwa show box.... Naipenda kinyama..
Na download movies and series & music,, zikiwa kwenye HD saafi..
Hii App haipo Playstore..
U can download hapa
[https://showboxapp.org/showbox_4.27.apk]
Tatizo showbox movie zake kama una mb za mawazo huwezi dawnload bora terrariumTv.shukran mkuu..
Owk but naomba nisadie nduguKu flash simu kwanza kuna njia nyingi mno kulingana na simu au chip ya simu.
Iliyotumika kutengeneza hiyo simu.
NB. Ku flash simu ni kosa kisheria
Nami please 06208484840717506126
ipo playstore ndugu, au naipataje?kuna application inaitwa GET APK MARKET kama unataka kudownload premium apps zoooote utazipata hapo freee
Kuna njia rahisi ya kupunguza ukubwa wa mb wa showboxTatizo showbox movie zake kama una mb za mawazo huwezi dawnload bora terrariumTv
Okay hebu weka mwongozo...Kuna njia rahisi ya kupunguza ukubwa wa mb wa showbox
Me msaada wangu ni jinc ya ku download muv thru Show Boxkwa wale watabe wa ngoma za billboard charts na U.K TOP 40 BILA kusahau EDM hits kupitia YOUTUBE wadownload apps moja inaitwa SNAPTUBE yani ni noma ..kiboko ya apps kwa youtube ..unacheki video bila mikwaruzo via HD view....haipo play store kwa hiyo ingia googgle utaikuta ..download halafu install ujioneee....bila kusahau mobodro kwa wale wanaopenda billboard chart fungua mobodro apps halafu tafuta channel ya BOX HITS kama inavyoonekana hapo chini halafu utaenjoy BILLBOARD HITS ZA KUTOSHA...
![]()
![]()
hutajuta kwa maamuzi hayo...cheki mpangilio huo wa apps za maana kwenye simu za wanaoifutilia dunia kwa ukaribu...
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]