Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Tumia TTCL weweUnatimia internet ya mtandao gani ...maana mm INA gomagoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia TTCL weweUnatimia internet ya mtandao gani ...maana mm INA gomagoma
ndio v5.5.0Mpyaaa
bofya hapo kwenye vimistari vitatu vyekundu na sio hizo dot tatu utaona kama root access imekubali au lah!View attachment 516286nimekwama hapa chief msaada tafadhal
Hapo mbona simu ipo rooted tayari.View attachment 516286nimekwama hapa chief msaada tafadhal
Hapo mbona simu ipo rooted tayari.
Weka root checker kama bado basi google how to root tecno c9
Una uhakika OG?? Ihakiki kwa www.imei.info then ingiza imei namba yako.Sumsung note 2
Kama ni C9 ipo njia ya Pc. Na ku root simu hakuharibu simu bali utakachofanya baada yabku root simu.View attachment 516831View attachment 516832View attachment 516833View attachment 516834View attachment 516835View attachment 516836View attachment 516836nimeangaika nayo sana naona nimekwama.imebidi nisitishe mana sina utaalam sana nisije nikaiuwa kabisa
Naipataje hii Lucky Patcher!?Best App ni Luckypatcher.
-Lucky Patcher kwenye android itakusaidia , kuondoa matangazo,break different apps' Android Market License Confirmation or other Confirmations for the applications. Unahitaji kuwa rooted.
Mfano,uki download kitu program ambayo si premium kwenye Android baada ya kuinstall fungua lucky patcher tafuta hiyo program ,open menu of patches, patch utapata premium version.
Vile vile games zote you can hack them for free.
Nafanyaje niweze kuroot simu yangu!?Kama simu sio rooted mwizi aki reset simu na yenyewe itafutika.
Simu aina gani?Nafanyaje niweze kuroot simu yangu!?
Samsung galaxySimu aina gani?
hii mashine ni kwa trial tu?! Au inakaa mda wote utakao
Pia kuna hii news app ya kitanzania inaitwa 'Zinazosomwa' inapatikana google play kupitia link hii: Zinazosomwa – Applications Android sur Google PlayWakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...
Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============
Pls wadau wenye maujanja kuhusu namna ya kunlock mtu aliyekublock WhatsAppWadau naomba msaada, unawezaje kunlock au kuenfelea kuchart na mtu aliyekublock kwenye WhatsApp yake kwa kutumia hyohyo WhatsApp yako aloblpck? Msaada pls kwa wenzangu wenye mahujanja
very easy uninstall hiyo whatsapp uliyonayo halaf download tena whatsapp upya kwisha kazi ukimtumia msg inafika kama kawaidaPls wadau wenye maujanja kuhusu namna ya kunlock mtu aliyekublock WhatsApp
Nimejaribu hvyo ila mbona haijatoka!! Labda kuna maujanja mengine!very easy uninstall hiyo whatsapp uliyonayo halaf download tena whatsapp upya kwisha kazi ukimtumia msg inafika kama kawaida
Temporary anakuwa ame-block namba yako unayoitumia wala sio- easy ku-unblock hapo chakufanya badilisha namba nyingine utampata aliyeku-blockNimejaribu hvyo ila mbona haijatoka!! Labda kuna maujanja mengine!
Jinsi ya kuroot simuSamsung galaxy
Usije kuwa ulibakiza mafile alaf ukayarestore tenaNimejaribu hvyo ila mbona haijatoka!! Labda kuna maujanja mengine!