Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Hapo mbona simu ipo rooted tayari.
Weka root checker kama bado basi google how to root tecno c9
Screenshot_20170529-223057.png
Screenshot_20170529-222144.png
Screenshot_20170529-214528.png
Screenshot_20170529-214032.png
Screenshot_20170529-213909.png
Screenshot_20170529-205959.png
Screenshot_20170529-205959.png
nimeangaika nayo sana naona nimekwama.imebidi nisitishe mana sina utaalam sana nisije nikaiuwa kabisa
 
Wadau naomba msaada, unawezaje kunlock au kuenfelea kuchart na mtu aliyekublock kwenye WhatsApp yake kwa kutumia hyohyo WhatsApp yako aloblpck? Msaada pls kwa wenzangu wenye mahujanja
 
Best App ni Luckypatcher.
-Lucky Patcher kwenye android itakusaidia , kuondoa matangazo,break different apps' Android Market License Confirmation or other Confirmations for the applications. Unahitaji kuwa rooted.

Mfano,uki download kitu program ambayo si premium kwenye Android baada ya kuinstall fungua lucky patcher tafuta hiyo program ,open menu of patches, patch utapata premium version.

Vile vile games zote you can hack them for free.
Naipataje hii Lucky Patcher!?
 
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...

Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============
Pia kuna hii news app ya kitanzania inaitwa 'Zinazosomwa' inapatikana google play kupitia link hii: Zinazosomwa – Applications Android sur Google Play

App hii ina uwezo wa kugundua ni jambo gani au mtu gani maarufu anavuma Tanzania katika siku. Hili linawezekana kwani app hii ina intelligence au uwezo wa kukusanya habari kutoka kwenye blogs na news sites maarufu Tanzania zaidi ya 35. Inazichambua habari hizi na kugundua jambo gani au mtu gani antrend Tanzania.

Pia app hii inapangilia habari katika topic au mada mbalimbali kama siasa, michezo, burudani, uchumi n.k ili kumrahisishia msomaji. Pia inampa mtumiaji uwezo wa kuchagua topic au mada za habari ambazo anataka app hii iwe inamletea na zipi isimletee. Hii inasaidia mtumiaji kusoma habari ambazo anapenda kuzisoma.

8d850a88b166789d26d779ee70dccf7b.jpg


ce20b4073b3223b44a66494518010d5f.jpg


156b989248caa6adac7c3a15d7250ff3.jpg


6d0ea41c8e3c980810f531654985da93.jpg


Mimi ni developer wa hii app, nitafurahi kusikia maoni yenu kwenye thread hii: App ya kwanza inayoonesha mambo yanayovuma Tanzania
 
Wadau naomba msaada, unawezaje kunlock au kuenfelea kuchart na mtu aliyekublock kwenye WhatsApp yake kwa kutumia hyohyo WhatsApp yako aloblpck? Msaada pls kwa wenzangu wenye mahujanja
Pls wadau wenye maujanja kuhusu namna ya kunlock mtu aliyekublock WhatsApp
 
Pls wadau wenye maujanja kuhusu namna ya kunlock mtu aliyekublock WhatsApp
very easy uninstall hiyo whatsapp uliyonayo halaf download tena whatsapp upya kwisha kazi ukimtumia msg inafika kama kawaida
 
Samsung galaxy
Jinsi ya kuroot simu
Hatua yakwanza
1.hakikisha simu yako ina chaji asilimia zaidi ya 50 hili kufanikisha zoezi zima maana mpaka likamilike linakula chaji nyingi zaidi all most 15 ya simu

2.nenda setting kisha buld number kisha bofya mala saba(seven times)itakwambia your now a developer hapo hatua ya pili imekamilika

3.nenda unknown source weka tiki kama ipo acha hivo hivo

4.nenda Google search engine search king root 4.o kisha iistall kwenye simu yako

5.fungua iyo king root apk app iyo itaitambua simu yako automatically na itakupa option ya try now utabofya pale itaanza procedure za kuroot inatumi dk 10 tu kuroot simu

Note:kuroot kunaipotezea simu uhalisia na kuifanya warranty ya simu kuwa expired

Mie sihusiki kwa chochote nimekupa tu procedure

Shedede
 
Back
Top Bottom