ikikataaa hapo jaribu hii
ingia google andika( XDA update supersu ) kisha ikishafunguka ingia hiyo blog ya XDA KIsha download update supersu zip file kisha ikishamaliza zima simu kisha washa ukiwa umebonyeza volume up button na cha kuwashia (simu nyingine lazima uongeze na cha home button kwa hiyo utakuwa umebonya vi 3 )itawaka kwenye recovery mode itakuletea option nyingi 2 chagua instal update kisha chagua lile file ulilodownload kisha bonya cha kuwashia wacha iji install yenyewe kisha ikishamaliza chagua reboot kisha tayari utakuwa umeroot.