Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kuna hiii tena Microsoft word...kwa kweli hii app nilitumia lisaaa li1 kujifunza kuitumia kusema ukweli imenipunguzia ruti nyingi za kwenda stationary kila kitu namaliza hukuhuku
 
Mobdro Nzur Sanaa Ninayo Muda.
3d82d17fb7e8b73a5e39ed4e32095aac.jpg
Bes app bongr la app kwa sisi wapenda kambumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada unahitajika nahitaji kuweka app kama WhatsApp n.k katika BlackBerry playbook kwa mwenye kujua
 
Ntapata wapi App nzuri ya Draughts(draft) bao la kete ngumu na lenye ushindani
 
  • Thanks
Reactions: GER
Back
Top Bottom