rugambwa22
New Member
- Sep 17, 2017
- 4
- 2
nna S7 edge nawezaje kuroot
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja.respect bro
mi nilifuta system app ya sms kwenye tecno h5 nikaweka go sms nifanyeje ili niweze kurudisha ile ya mwanzoCha kwanza simu iwe ume root. Simple way tumia app kama
System app remover (ROOT) – Програми Android у Google Play
Ila nakuomba uni pm app unazotaka kufuta kabla huja fanya hivyo.
kazi yake nnBusy box, lucky patcher na build prop editor..... Vitu adimu hivi
Mkuu hapo inabid ufanye default factorymi nilifuta system app ya sms kwenye tecno h5 nikaweka go sms nifanyeje ili niweze kurudisha ile ya mwanzo
Kama bado hujaiona tuu appstore pakua link hii hapa sasaLink mkuu
huwezi kuipata kwasababu umeifuta labda umtafute mwenye simu kama yako akurushiemi nilifuta system app ya sms kwenye tecno h5 nikaweka go sms nifanyeje ili niweze kurudisha ile ya mwanzo
App kwaa jili ya kuingiza vocha kwenye simu yako baada ya kuikwangua,
Epuka usumbufu wa kusoma namba moja moja just scan vocha yako kisha ok.
Recharge King - Top up tool, Recharge phone – Програми Android у Google Play
unaanzia wapi unamalizia wapi ama komputa inahusika?Mkuu hapo inabid ufanye default factory
haiwezi kusumbua zaidi uki unroothuwezi kuipata kwasababu umeifuta labda umtafute mwenye simu kama yako akurushie
au unroot kisha fanya factory reset unaweza kuipata.
vp mb inazihurumia amaseach google utaipata
kuanzia muda gani inakua hivyoTIGO Na YouTube ya bure sijajua inakuajekuaje lakini tangu waanzishe hii kitu ikifika hiyo mida ya saa sita huwa natumia youtube, playstore, na naperuzi website yoyote na kudownload kupitia browser ya chrome na kudownload file lolote ili mladi liwe kwenye link za google drive na kwa speed ile ile, sasa sijajua ni kwangu tu au vipi.!!!
Mkuu mambo vp. Hope upo okay, naulizia app ya kurecord kinachoendelea kwenye screen ya simu kwa njia yake video.
Let's say mtu ameniomba simu naweza kupata itakayorecord kile anachofanya kwenye screen then akinipa simu yangu niweze kuona alifanya nini na nini kiongozi.
Thanks a lot bro.
Kwangu mimi sijaona kama hii mkuu japo zipo nyingiMkuu mambo vp. Hope upo okay, naulizia app ya kurecord kinachoendelea kwenye screen ya simu kwa njia yake video.
Let's say mtu ameniomba simu naweza kupata itakayorecord kile anachofanya kwenye screen then akinipa simu yangu niweze kuona alifanya nini na nini kiongozi.
Thanks a lot bro.
Kamata App moja inaitwa SCR Pro hiyo ni mwisho wa yote.Mkuu mambo vp. Hope upo okay, naulizia app ya kurecord kinachoendelea kwenye screen ya simu kwa njia yake video.
Let's say mtu ameniomba simu naweza kupata itakayorecord kile anachofanya kwenye screen then akinipa simu yangu niweze kuona alifanya nini na nini kiongozi.
Thanks a lot bro.
Hiyo App huipati hata ufanyeje. Kama uli uninstall itategemea na app uliyo futia, kama ina recycle bin nenda u restore, kama haina basi hapo u flash hiyo simu. Maana ile ni bult in App. Tena ipo kwenye private app. Ukifuta hiyo app kibao zitazingua ikiwemo dialer au phone nkunaanzia wapi unamalizia wapi ama komputa inahusika?
Hizo app kazi yake hadi uwe ume root sim.kazi yake nn
ndio nime root yakwanguHizo app kazi yake hadi uwe uke root sim.
Kamata App moja inaitwa SCR Pro hiyo ni mwisho wa yote.
Utaipata Aptoide kama unayo.
Huna link yake mkuu uiweke hapaKamata App moja inaitwa SCR Pro hiyo ni mwisho wa yote.
Utaipata Aptoide kama unayo.
Kamata App moja inaitwa SCR Pro hiyo ni mwisho wa yote.
Utaipata Aptoide kama unayo.