Kuna app inaitwa
should I answer hii inafanya kazi kwa
1. Kuzuia simu zisiingie kwa kuzikata.
2. Kuzuia simu zisiingie (hapa zinaita kwao ila kwako hazitaita kabisa) look, inaonekana kama haupokei simu na sio unakata.
3. Kwa kujipokea yenyewe na kisha kukata.
Hii ni unaweza ukachagua namba moja au ukaweka namba zote ambazo hazijawa saved kwenye contact yako yani namba mpya.
Hii inamaanisha hata anayekupigia akitumia namba nyingine bado hatakupata.
Baadae unaweza ukaona namba zote ambazo zimekupigia kama utataka.