Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mkuu ntashusha badae jioni. Ni app ambayo ukiweka kwenye simu yako unavyotumia internet kustream vitu au unavyokuwa online mda wote kuna kiasi unapewa kwenye account yako. Ukiwa mjanja ukiweza kuingiza dollar moja per day bas kila siku ishirini utakuwa unatoa dollar 20.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mzee wangu huu mzigo tunaungoja kwa hami
 
Natafuta ubuntu Os ya simu ambayo ipo cracked haichagui aina ya simu..,.!
 
Wadau kwemaa,
Naomba kujuzwa app ipi ambayo itanifanya kupata password za public wifi
 
Ni app gani unatumia ili uwe na maandishi ya muundo tofauti katika mitandao ya social media hasa wasap na mengineyo...???
 
Back
Top Bottom