mbacho massawe
JF-Expert Member
- Apr 24, 2016
- 299
- 245
Mzee wangu huu mzigo tunaungoja kwa hamiMkuu ntashusha badae jioni. Ni app ambayo ukiweka kwenye simu yako unavyotumia internet kustream vitu au unavyokuwa online mda wote kuna kiasi unapewa kwenye account yako. Ukiwa mjanja ukiweza kuingiza dollar moja per day bas kila siku ishirini utakuwa unatoa dollar 20.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app