Katika maisha upepo ukivuma usikinzane nao uelewe nature yake na uenende nao sambamba ili usikupige mweleka...muhimu ni kushabihiana nao. Cryptocurrency tunataka au hatutaki ndio nature ya digital payment kwa sababu mbili kuu ni pesa inayoweza kutumika kwa transaction halafu ni investment at the same time.
Kwa wale wenzangu waliosoma finance wanaelewa money yeyote its a paper ambayo wanajamii wamekubaliana iwe ndio kielelezo cha thamani kwa hiyo pesa haina thamani yeyote Bali ni sisi tu tumekubaliana kwamba iwe na thamani.. The same na Bitcoin ni watu wamekubaliana iwe na thamani kutokana na nature yake ya kuwa na scarcity, durability, portability e.t.c anyways tuyaache haya.
Binafsi nimeijua hii Cryptocurrency mwaka 2017 ila nilikuwa mbishi na siamini na niiliipinga kwa nguvu zote ila nikajipa space ya kufuatilia na ilipofika Nov ndio nikaifahamu sarafu inayoitwa Ripple ikiwa na price ya $0.2 nikadharau na nilikuwa na jamaa yangu akinisisitiza ninunue hara sarafu za laki tano maana zilikuwa cheap and affordable nikadharau ghafla bei ikaspike kutoka $0.2 hadi $3.5 na jamaa alinunua coin takribani 40000 kwa tshs nadhani haikuzidi $260 maana ndio ilikuwa initial investment yake wakati huo..asee!! Ina maana ni 3×4000= $12000 na kwa madafu ni tshs 26,400,000/= roho iliniuma sana kwanini niliignore na yeye kwa wakati huo anajilaumi kwanini hakuweka mzigo wa maana angeyakatia denge maisha mapeeem
bei ya awali hii then ghafla ikaspike hadi hii hapa price
to dare is to do..hujachelewa tenga muda wako jifunze zaidi juu ya hii hopefully it won't surely let you down.. Sio upatu huu its investing early for the benefit of the future.
Hapo ndipo nilipoanza seriously kufuatilia hii ishu na sasa nimegundua its good to invest on ICO au aidrop ambapo hii airdrop kitaalamu ni kampeni ya kugawa coin bure kama strategy ya marketing hii unaweza kuwekeza kwa only sign up tu then unapewa free coins kadhaa maana wao wenye coin wanaitumia kama marketing strategy ya coin yao kupata users and build network of their investors wengi hence inakuwa positive investment for the future..kwa sasa Kuna coin moja iko kwenye Aidrop inakuja kuipa maximum challenge YouTube na all other related site ambazo ni za video streaming yaani hawa jamaa unalipwa pesa kwa kuplay any multimedia via hiyo block chain technology yao...its gonna be huge with an amazing potential inaitwa CURRENT ifuatilie mapema kabla hujachelewa
huko telegram naona wana member kama 100,000 hawa wanasubiri official launch ya ICO ili wanunue mapeema na hii ni kwa miezi miwili imagine mwaka itakuwaje? check hapa telegram yao bado Twitter e.t.c
yaani nakupa fact tupu na evidence juu.. na wote wanasuburi mzigo uanzee kuuzwa wanunue imagine kama hawa wazungu kila mmoja akinunua kwa minimum dola $500 pekee zidisha na idadi ya watu 100,000..500×100,000= $50,000,000/= kwa madafu 50,000,000×2300= Tshs 115,000,000,000/= its very simple mathematic ya mwezi mmoja tu wa hilo boom wanazalishwa mamilionea kibao for the next coming years hii ishu ya Crypto imewanufaisha zaidi Wakorea, Wamarekani, Wachina na Wahindi maana wao wameiamini na kuimaster mapema lakini sisi hakina Shambuku tutazidi kutafuta mchawi hadi mwisho wa dunia kila kitu hujuaji tu wakati hakuna tunachojua smartphone ni kwa ajili ya Mange kimambi na jamii forum pekee.. Imbecilic! Ingia hapa
Current Media ukikisajili tu via this link unapewa free current coin 5 za papo kwa papo then unasubiri Initial coin offering maana hii ni airdrop tu..airdrop which simply means you make money from air...yaani unaenda kiwandani kununua sabuni..sio sawa na Yule atakaenunua kwa wakala..wa kiwandani atapitia na masaza ya kutosha mixer bakshishi.
Usije sema hukupata taarifa..yajayo yanasisimua. Just learn more to earn more.