Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,981
- 3,604
Hapa nazani Myetherwallet ndio inahitajika na sio coibase, bittrex......Sidhani kama unatakiwa kusubmit address wallet yako. Maana sisi hatukusubmit so try once more tuone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nazani Myetherwallet ndio inahitajika na sio coibase, bittrex......Sidhani kama unatakiwa kusubmit address wallet yako. Maana sisi hatukusubmit so try once more tuone.
Pale hawahitaji myetherwallet maana hii bado iko kwenye early stage ya airdrop na pia wanatengeneza wallet yao wenyewe soon.Hapa nazani Myetherwallet ndio inahitajika na sio coibase, bittrex......
Umeiweka vizuri sana mkuuHellow good people!
Baada ya bitcoin kuvumbuliwa kama cryptocurrency ya kwanza kuanza kutumika duniani , kumekuwa na shauku ya watu wengi kutaka kuwekeza katika bitcoin lakini inawawia vigumu kutokana na bei yake kuwa juu mno , thamani ya bitcoin 1 iliwahi kufika million 40 za kitanzania , kwa sasa bitcoin moja inathamani ya Tsh Million 16.++,.
Uzi huu uwe maalumu kwa ajili ya kushirikishana cryptocurrencies za kuweza kutia mpunga kwa sasa na kuhold mpaka mwisho Wa mwaka 2018. Mimi binafsi nitaanza na coins kadhaa ambazo nimeziona kibongo bongo tunaweza kuziafford kutia mpunga wetu humo na ukahold mpaka December 2018 bila stress.
1. Action coin Log In ‹ Action Coin — WordPress
Hii coin niliwahi kuona mdau mmoja kaitambulisha humu ndani anaitwa budot uzi wake huu Action coin (Coin mpya kuzinduliwa mwezi march)
Kwa kuongezea kidogo hii ni coin ambayo ipo kwenye pre lunch ,inatarajiwa kuwa lunched ifikapo tarehe 1 March 2018. Ila kwa sasa wapo kwenye pre sale ya tokens zao na ratiba yao ipo kama ifuatavyo,
February 9 to 15: We will sell up to 250,000,000 Action tokens for *$0.005 USD. You must register to participate.
February 16 to 20: We will sell up to 250,000,000 Action tokens for *$0.01 USD. You must register to participate.
February 21 to 25: We will sell up to 250,000,000 Action tokens for *$0.02 USD. You must register to participate.
Kingine pia kutoka action coin ukifanya signup kwa sasa wanakupa free coin 1,000 , ofa hii inatafungwa tarehe 1 March 2018. Kazi kwako.!
2.Ethereum cash pro Ethereum Cash Pro
Hii pia ni coin ambayo ipo pia kwenye pre lunch inatarajiwa kuwa lunched tarehe 22 February 2018 . Price ya coin moja kwa sasa ni 0.001 . ALSO wanatoa free coins 10,000 ukifanya sign up kwa sasa.
3.WCX WCX
Hii pia ni coin ambayo ipo kwenye pre lunch. Tarehe 25 February 2018 itakuwa lunched rasmi. Kwa sasa Price ya coin moja ni $0.10 inakadiriwa hadi kufikia mwisho Wa mwaka price itafika $500 kwa coin moja, nao pia wanatoa free coins 50 kwa members wapya wanaojisajili.
4.Legit coin Legitcoin Presents Cryto Revolution
Hii ni new coin ambayo imeshakuwa lunched tangu tarehe 15 January 2018,, kabla haijazinduliwa price ya 1legit ilikuwa $0.001,
Saizi naandika Uzi huu thamani ya 1legit ni $2.05. Na kwa mujibu Wa MARK LEE founder Wa hii coin anadai hadi kufikia mwezi March 2018 thamani ya coin 1 itafika $70. Pia Inasemekana hii coin mpaka kufikia December 2018 itafika $700 kwa coin moja.
Kitu pekee ambacho wamekujana nacho hawa jamaa ni kwamba wapo mbioni kutengeneza Master cards za legit coin ambazo Zitaitwa LEGIT CARD , ambapo zitakuwa zinatumika kwa ATM Mashine yoyote duniani kwa ajili ya withdraw za legitcoin na other cryptocurrencies zilizopo duniani,
![]()
Kwa sasa ukijisajili wanakupa free coins 5 tu. Kujisajili ni simple unaingia sehemu ya Sign up then unajaza email na nywira yako , baada ya hapo watakutumia email kwa ajili ya kucomfirm e-mail yako, ndani ya hiyo Email utakayotumiwa kutakuwa na link pamoja na activation key , chakufanya utacopy zile activation key , hafu utabofya ile link iliyopo ndani ya email , itakupeleka kwenye sehemu yenye kibox utapaste zile activation key then kwa chini pia kunakibox cha kuthibitisha you're not a robot hakikisha panakuwa ticked , then bonyeza continue. Utakuwa umemaliza
Kwa sasa niishie hapo niwapishe wadau wengine kwa mawazo na michanganuo mingine juu hizi digital money pamoja na currencies za kuweza kuwekeza kwa sasa.
Hellow good people!

Sishauri mtu anunue hizo sababu hazijawa ktk soko
Watu wanunue sarafu zilizopo coinmarketcap
Una point mkuuu, ndo maaana hilo group la telegram lipo kwaajili ya kupeana elimu na kufundishana.
Please join people kuna watu wanahitaj msaada wafanye biashara hyo.
Kizur zaid ni kwamba wanagroup lao LA telegram pia wana official tg channel kwa ajili ya kupata all updates , link ya group lao ni hii CurrentInviteKuna hii ICO Iko kwenye airdrop inaitwa Current Media hii ni ICo ambayo utalipwa kwa kuangalia video kwenye platform yao , ni km vile YouTube , nafikiri ni vizur tukaifwatilia kwa ukaribu kwa kufanya sign up, nimekuwa interested sana na hii ICo nimeifwatilia kwa karibu inawatu weng sana wanaoisubr kwa hamu ili waanze kununua Tokens.
Hii nimeielewa good project , nasikia alhamis ndo wanaanza rasmi pre ico, I can't wait lazima ni risk $20 zangu hafu nione,Corex-Coin
Coin ICO / Crypto & Forex / 3WAY concept / PRE ICO 8.March 2018
Crypto & Forex
Three-Way concept for a
profitable future!
Crypto
3WAY concept Forex
Special offer -45%
1 ETH = 3255 Corex Coins
Whitepaper:
https://www.corexcoin.io/assets/whitepaper.pdf
Story of Corex
The Team around Corex consists of selected Crypto and Forex traders, who have long experience in the fields of cryptocurrencies and already prove their worth. The idea of Corex was to make those traders accessible to everyone. Common knowledge is, that professional traders are very expensive and that you need to have plenty of capital available, if you want to consult a skilled trader. Not so with Corex. Our new founded concept saves you those costs and enables you access to a path of a profitable future with the help of top traders on the Crypto- as well as on the Forex market. Corex created a way to halve the risk by spreading capital across two markets, but with increasing profits.
Why should I invest?
Our platform offers you a simple and lucrative investment concept. The safety of our
customers is the top priority. We highly believe that with a larger spread of invested
capital we can assure more security. In our opinion pure investment in Cryptocurrencies
would be too risky. We think, that the more markets you use and the more
often you spread your capital, the lower is the risk of a total loss or washout in the
end.
With our 3WAY concept, which splits into Forex, Crypto and arbitrage trading, we
offer our customers a very secure and solid investment solution.
VISION
It’s our vision to grant people the possibility to generate profits even in difficult market phases. The goal of our project was clear from the beginning. There is highs and lows in every economy. So we wondered: How can you develop a long-term project? This is where Corex occurs and comes to life as one of the most efficient investment opportunities with Cryptocurrencies. The Crypto technology opens possibilities to build and found a crowdfunding project completed within 17 months. That was what we had pictured too. We have been gathering experience in the entire trading area since 2016. So you might question: What exactly makes us so strong? We always have had the opportunity to work in two different markets, even if one market had reached a low point, we were able to leverage it with the profits of the other market. And even if both markets had bottomed out, our additional arbitrage trading bot could generate huge profits too. Building on this concept we are able to generate profits in all situations.
Lending:
Lending means to invest your own COREX coins or Bitcoins to get a daily return. This option is perfect for passive investors. You can see the guaranteed profits on the table in our Whitepaper. The maximum interest rate is 49% per month. This investment allows you to profit from our 3-Way trading concept. The capital is stored for a certain amount of time, which allows a better cash flow. You will receive your capital and your profits back after 53 to 186 days, depending on which package you have selected.
The Pre-Sale starts at 8 March 2018 06:00 pm. CET
Minimum investment - 20$ = 68 CorexCoins
Maximum investment - 7000$ = 24,137 CorexCoins
Sign up now https://www.corexcoin.io/account/signup.php?ref=aN8CM4yPlh
Mkuu najarib kujoin nashindwa kama hutajali naomba uniadd natumia jina la JoramAsante mkuu lingine hili mwaweza tunaweza kujoin pia CurrentInvite