Tushirikishane Cryptocurrencies za kuweza kutia mpunga kwa sasa bila stress

Umeiweka vizuri sana mkuu
 
Hizi ni sababu 6 za kumtumia Templer FX Trader kama broker wako kwa hapa Tanzania.

Hellow champions! kutokana na changamoto za kimaendeleo inayoikabili nchi yetu kwa muda mrefu sasa hasa katika sekta nzima ya miundombinu na mawasiliano wafanyabiashara wengi Wa forex hapa Tz wamekuwa wakipata wakati mgumu sana linapokuja suala LA broker gani wamtumie, kutokana na bank nyingi sana za hapa Tz kushindwa kutoa huduma nzuri kwa forex traders. Hata hivyo kuna banks chache zinasupport biashara ya forex lakini hazijaenea nchi nzima , 90% zina matawi DSM, Na majiji makubwa makubwa kama mwanza, mbeya na Arusha. Hii inawapa changamoto kubwa sana fx traders Wa mikoani kufanya biashara hii kwa Uhuru zaidi. Wengi wanalazimika kusafiri kitambo kirefu kufwata bank iliko kuweza kufanya mihamala yake ya kipesa.


Sasa basi Templer ni broker Wa UK(Uingereza), wana ofisi hapa Tanzania.
Kifupi ni broker mzuri anaendana na mazingira ya watanzania tulio wengi.

Kwanini nasema ni broker mzuri?
1.Ni rahisi kufungua akaunti na kupata uthibitisho (verification) kwa haraka.
>Ili kufungua akaunti templer unahitaji kuwa na moja kati ya vitambulisho vifuatavyo
*°Kitambulisho cha Taifa*
*°Kitambulisho cha kupigia kura*
*°Leseni ya udereva*
*°Passport ya kusafiria.*
Kumbuka sio vyote, ukiwa nacho kimoja basi mchezo umeisha.
Pia wanahitaji Email yako na Namba yako ya Simu (ni vizuri iwe ya voda). Baada ya masaa 24 unapata real akaunti ukiwa chumbani kwako.

2.Njia Rahisi ya kutuma na kutoa Pesa zako.
>>>Templer wana njia nyingi za kufanya transactions ya hela yako, ila hapa nitaelezea njia yao moja Ya M-Pesa. Kifupi unaweka hela yako na kutoa kwa njia ya M-Pesa muda wowote unapohitaji na ni simple kabisa tena bila makato. Yani ukitoa $100 kutoka kwa broker,kwenye laini yako itaingia $100 kama ilivyo na kuweka tena hivyo hvyo ni bure. Inachukua Maximum Dakika 30 hela yako kuonekana kwenye MT4 akaunti yako baada ya kuweka. Pia inachukua Dakika 30 hadi SAA 1 kuipata hela yako baada ya kutoa.Huhitaji kusafiri au kwenda kupanga foleni Bank mambo yote unamaliza chumbani.

3.Kiwango rafiki cha kuweka na kutoa hela (Minimum deposit and Withdraw)
>Guys brokers wengi wana minimum deposit and withdraw wengine ni $500, wengine ni $200 wengine $100. Sio watanzania wote tunaweza tukaafford viwango walivyotuwekea , lakini Templer minimum deposit ni $1=Tsh 2,240/= kumbukeni $1 unaweza kufungua trade 1 chini ya Big Risk management, kwa wale magwiji Wa fx wanauwezo Wa kukuza $1 hadi kufika $100. (Nimesema magwiji) pia kutoa ni kuanzia $1=Tsh2,240 yani hata hela ya vocha unaitoa bila tatizo lolote.

4.Huduma nzuri kwa wateja.
>>>Templer wanacustomer care nzuri kwa wateja lakini kizuri zaidi kutoka Templer kwa watanzania unahudumiwa na watanzania wenzako sio lazima uwacheki kwa email, unawacheki kwa WhatsApp au kwa kuwapigia live faster unahudumiwa na unatumia lugha yetu ya Taifa Kiswahili.
>>>Pia Guys tukumbuke kupata loss au kuunguza akaunt kwenye forex ni jambo LA kawaida sana, linaweza kusababishwa na vitu vingi sana ili kikubwa ni kutokuzingatia Risk management. Sasa TemplerFx wakati akaunti yako IPO hatarini kuungua wanakutumia ujumbe kwa Email na Text kwa njia ya kawaida kupitia namba yako ya simu kukujilisha akaunti yako iko hatarini kuungua tafadhali nenda kaicheki, Hapo kama ulizima data unaweza kuopen faster na kwenda kuokoa akaunti yako japo kiwango kidogo kuliko kuungua jumla. Hii ni tofauti kwa brokers wengine ukiplace order hafu akaunti ikawa hatarini hupewi notification yoyote , utakapofungua badae unakuta Mt4 inasoma Zero balance. Kati ungepewa taarifa mapema ungeweza kuokoa hela za upande kwa kucut loss.

6.Spreads ndongo.
Kwa kifupi Spreads ni tofauti kati ya bei ya kuuza na kununua, Spreads ni eneo la kwanza ambalo broker anapata faida kupitia trades zako, kila broker ana spreads zake kwa kila pair, spreads kubwa inamaana broker anachukua pakubwa, na spreads ndogo inamaana broker anachukua padogo Kwa kawaida brokers wengi sana huwa wanaongeza spreads muda Wa usiku na muda Wa News, lakini wengine muda wote spreads zao ni kubwa sana haijalishi mchana au usiku hii inaumiza sana kwa trades ambao mitaji yetu ni ya kuungaunga. sasa Templer ni broker mwenye spreads ndogo katika pairs zake hasa muda Wa asubuhi hadi jioni spreads zinacheza kuanzia 3 hadi 12. Usiku zinaongezwa kidogo na muda Wa news. Sio mbaya sana ukilinganisha na brokers wengine ambapo spreads muda Wa asubuh hadi jioni unakuta zinacheza kuanzia 25 hadi 70, hapo ikifika muda Wa news unaweza kukuta spread inacheza 100++,.
 
Habar wana JF,

Nimekua nisikia sana kuhusu crypto-currencies lakin nashindwa kuelewa kiundani haswa inafanywa vipi. zaid naelewa bitcoin kwakua inaongelewa sana.
Mwenye uelewa zaid afafanue na kuonyesha biashara yake imekaaje haswa ikiwa kama fursa.
Tafadhalini sana weka mambo hadharani.

Asante
 
Wazee wa fursa watakuja muda sio mrefu,,jiandae kuwa fursa
 
Watumiaji wa MAXTHON browzer kuna kitu wameanzisha kinaitwa '' LIVE ONE MINGING" mimi kama mtumiaji mkongwe wa browzer hiyo nilijiunga na huduma hiyo ya cypto ambapo kila siku kutokana na jinsi ulivyoitumia unagaiwa tocken. Kwa sasa nimefikisha 1,000/= sijui ni hela, sijui ni nini, na sijui zinafanywaje maana sijui chochote katika kitu kiitwacho cypto iwe ni BITCOIN au ile nyingine ya ONTARIO hivyo ngoja niendelee kuzikusanya nitakuja kujua faida yake mbeleni madhali situmii hela wala possibility ya kushindwa kama betting ni kila siku mgao unatoka acha nikomae huko mbeleni nitakuja kuwa bilionea
 

Kwa njia rahisi ili wote tuwemo kwenye mstari naona tuingie kwenye group halaf tupeane madini.

CrypoCurrencies

Karibuni
 
Sishauri mtu anunue hizo sababu hazijawa ktk soko
Watu wanunue sarafu zilizopo coinmarketcap
 
Sishauri mtu anunue hizo sababu hazijawa ktk soko
Watu wanunue sarafu zilizopo coinmarketcap

Una point mkuuu, ndo maaana hilo group la telegram lipo kwaajili ya kupeana elimu na kufundishana.
Please join people kuna watu wanahitaj msaada wafanye biashara hyo.
 
Kuna hii ICO Iko kwenye airdrop inaitwa Current Media hii ni ICo ambayo utalipwa kwa kuangalia video kwenye platform yao , ni km vile YouTube , nafikiri ni vizur tukaifwatilia kwa ukaribu kwa kufanya sign up, nimekuwa interested sana na hii ICo nimeifwatilia kwa karibu inawatu weng sana wanaoisubr kwa hamu ili waanze kununua Tokens.
 
Kizur zaid ni kwamba wanagroup lao LA telegram pia wana official tg channel kwa ajili ya kupata all updates , link ya group lao ni hii CurrentInvite
 
Juzi website ya kubwa ya coins walletinvestors.com waliipublish hii coin ijulikanayo
Corexcoin - 3WAY Trading ICO nilijaribu kuifwatilia ni coin ambayo team yao imeundwa na professional crypto and forex traders , unaweza kuchek roadmap yao na white paper ili kujiridhisha zaidi wako clear sana, pia community yao iko vzur kuna group lao LA telegram lina watu km 12k.
Wanatarajia kuanza kufanya pre sale kuanzia tarehe 08/march, initial investment ni $20,, price ya coin 1 itakuwa $0.29 kwa phrase ya kwanza , phrase ya mwisho ambayo itaanza march mwishon price itakuwa $1.01+ ,, hii coin ni legit IPO pia kwenye web ya altcoins
 
Mkuu tupe ABC za cyptocurrency ili tupate kujua ni kitu gani; itakuwa ni vyema maana itaongeza uhaminifu zaidi.
 
Hii nimeielewa good project , nasikia alhamis ndo wanaanza rasmi pre ico, I can't wait lazima ni risk $20 zangu hafu nione,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…