Nimeamua kuanzisha huu uzi maalumu kwa kuweka picha za bidhaa zilizotengenezwa hapahapa nchini kwetu Tanzania katika harakati za kuelekea Tanzania ya viwanda. Utakuwa ni uzi wa kuweka picha za bidhaa tulizozitengeneza sisi wenyewe(watanzania) na si picha za ku download au kuweka picha za products kutoka kwa mtu mwingine.
Hongera...lakini nahisi soko lenu liko kwa mabinti wa secondary..maana mikoba hiyo wamama dah...hebu uwe unamtembea mkaka mmoja hivi yuko Kenya anajiita JOKAJOK uone alivyoteka soko la wamama😔!
Au la mm ni mshamba!
Hongera...lakini nahisi soko lenu liko kwa mabinti wa secondary..maana mikoba hiyo wamama dah...hebu uwe unamtembea mkaka mmoja hivi yuko Kenya anajiita JOKAJOK uone alivyoteka soko la wamama[emoji17]!
Au la mm ni mshamba!
Ila tuseme kweli ...soko la ndani la leather sio zuri ..bado kama kibudu....kuna mbaba nilimuona kwa maonesho dah .anatengeneza viatu .jaman shapeless kbs..nadhan hatuna vifaa au tu soko halipo...kuna kidada kingine Kenya kinamikoba kuntu balaa..yaan huaminu anatengeneza Kenya!
Bidhaa yyt ukiweza penya kwa wanawake ujue ushapenya!
☝Hiyo imekaa kitotooo!😔