Tusibweteke Lesotho bado ana nafasi ya kufuzu

Tusibweteke Lesotho bado ana nafasi ya kufuzu

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Wengi wanaibeza Lesotho na kuona kuwa tumewafunga. Swali Kama ni kibonde Mbona tulishindwa kuwafunga hapa TZ tena mbele ya kina Samata. Tunaweza tusiamini kesho ratio wachezaji wetu ni wepesi wa kulewa hapo wanapeana tano kwenye vyumba zisizo na maana na kuona wamefuzu. Mtaniambia kesho tutaongea mambo mengine humu (mcheza kwao hutuzwa)
 
Nasemaje ile timu hadi uone wametoka uwanjani ndipo unaweza kuwazungumzia.
 
Kwa kweli wacposhinda yaani wakirudi bc wapokelewe na karandinga wakakae keko wiki moja kwanza! Lkn tumuombe MUNGU atusaidie japo nao wanamuomba MUNGU! MUNGU ibariki TANZANIA
 
kumbe hii mechi sisi ndiyo underdog?. Naelewa jamaa wapo nyumbani but still!!.
Screenshot_20181118-073747.png
 
Back
Top Bottom