Wengi wanaibeza Lesotho na kuona kuwa tumewafunga. Swali Kama ni kibonde Mbona tulishindwa kuwafunga hapa TZ tena mbele ya kina Samata. Tunaweza tusiamini kesho ratio wachezaji wetu ni wepesi wa kulewa hapo wanapeana tano kwenye vyumba zisizo na maana na kuona wamefuzu. Mtaniambia kesho tutaongea mambo mengine humu (mcheza kwao hutuzwa)