Tusichimbe mafuta yetu mpaka tuwe na jeshi imara. Vyenginevyo Wanaharakati watatuuza

Tusichimbe mafuta yetu mpaka tuwe na jeshi imara. Vyenginevyo Wanaharakati watatuuza

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Nimeona taarifa kwamba marekani anasafisha mafuta ya Venezuela. Pia Rais wa USA amesema atachukua mafuta ya Iran. Kilichosaidia Iran kwamba anajeshi imara ndio kazuia.

Kwahivyo, nashauri tusichimbe mafuta mpaka tuwe na jeshi imara. Vyenginevyo wanaharakati watatuuza kwa wapenda vya watu
 
Nimeona taarifa kwamba marekani anasafisha mafuta ya Venezuela. Pia Rais wa USA amesema atachukua mafuta ya Iran. Kilichosaidia Iran kwamba anajeshi imara ndio kazuia.
Kwahivyo, nashauri tusichimbe mafuta mpaka tuwe na jeshi imara
Pamoja na jeshi imara tunahitaji Tanganyika imara yenye Katiba Bora itakayoweka msingi imara wa utawala bora!
 
Back
Top Bottom