google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Yaliyopita na yaliyoko hakika hayafanani kabisaa kama mbingu na nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado impact yake ni ndogo katika jamii yetu ya kitanzania,leo hii asilimia kubwa ya watanzania hawajui hayo yaliyoko kwenye hicho kitabu!Pia jitahada zako humu JF zinafifishwa na udini uliokujaa kwa maana unaonekana wazi unaitangaza dini yako katika historia ya nchi yetu!Watu wa dini yako unawapaka rangi sana humu!Ukiachana na kutowataja wakristu ambao historia imesahau walioshiriki katika ukombozi,hata huyu Nyerere anayetajwa kwenye historia unajaribu kushusha heshima yake na kwamba hastahili hizo sifa anazopewa!Kwa sababu hizo,uungwaji wako mkono unasuasua na lengo lako haliwezi kutimia kwa maana watu wakishaona jina lako tu wanajua ni yaleyale ya udini na kumu-undermine Nyerere!Boma,
Kitabu hiki hakijapuuzwa.
Kilipotoka mwaka wa 1998 kilifanyiwa "book review," na mabingwa wa African History - John Illife, Jonathon Glassman na James Brennan na hizi review zikachapwa katika CambridgeJournal of African History.
Halikadhalika The East African (Nairobi) waliotoa "series" tatu.
Hadi sasa kitabu kimepigwa chapa mara tatu na kimetafsiriwa kwa Kiswahili 2002 na tunakwenda chapa ya nne.
Sababu kubwa ya mafanikio haya ni kuwa kitabu kimebadili historia nzima ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
Kitabu hiki nimekizungumza University of Iowa na Northwestern University Evanston, Chicago kwengine kwingi.
Kwa hakika hata mimi sikutegemea mengi ambayo nimeyashuhudia baada ya kuandika kitabu hiki.
Hayo ya "bias," wala sijui unakusudia nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bome...Bado impact yake ni ndogo katika jamii yetu ya kitanzania,leo hii asilimia kubwa ya watanzania hawajui hayo yaliyoko kwenye hicho kitabu!Pia jitahada zako humu JF zinafifishwa na udini uliokujaa kwa maana unaonekana wazi unaitangaza dini yako katika historia ya nchi yetu!Watu wa dini yako unawapaka rangi sana humu!Ukiachana na kutowataja wakristu ambao historia imesahau walioshiriki katika ukombozi,hata huyu Nyerere anayetajwa kwenye historia unajaribu kushusha heshima yake na kwamba hastahili hizo sifa anazopewa!Kwa sababu hizo,uungwaji wako mkono unasuasua na lengo lako haliwezi kutimia kwa maana watu wakishaona jina lako tu wanajua ni yaleyale ya udini na kumu-undermine Nyerere!
Kizazi kinachokuja bado hakitaijua historia vizuri,itakuwa kama jana na leo!
Ningeshauri uweze kupambana kwanza na hisia binafsi ili uweze kuandika historia bila msukumo wa kidini,hii inaweza kuleta matokeo chanya sana Mzee Said!
Unaamini maandiko yako yamewafikia asilimia ngapi ya watanzani?Tukichukua vijana 100,umri kati ya miaka 20-40 randomly,unadhani ni wangapi wanaweza kuelezea historia ya uhuru wa nchi yetu?Hapa namaanisha kwa mujibu wa unavyoelezea historia!Bome...
Siwezi mimi kukisemea kitabu changu kwa namna unavyohoji mafanikio au kufeli kwake.
Ninachoweza kukueleza ni kuwa kitabu kimenunulika sana kiasi tunakwenda toleo la nne.
Hili la kwanza.
Pili ni kuwa napokea kila siku mialiko kuzungumza historia hii.
Nimezungumza University of Johannesburg, Zanzibar University, University of Ibadan, Kenyatta University, University of Dar es Salaam, Muslim University of Morogoro, Mzumbe University, University of Iowa, Northwestern University na Zentrum Moderner Orient, Berlin.
Oxford University Press Nairobi wakanitia katika mradi wa kuandika vitabu vya historia shule za msingi na wamechapa kitabu changu, "The Torch on Kilimanjaro,na nimeshiriki kwenye kitabu "African Anthology," nikiwa mmoja wa waandishi kutoka nchi kadhaa za Afrika.
Halikadhalika nimetiwa katika mradi wa Harvard na Oxford University Press New York - Dictionary of African Biography (DAB)na niliombwa kumwandika Kleist Sykes (1894 - 1949).
Oxford University Press New York wametoa volume sita ya kazi hii mwaka 2011.
Hapa IF nimefanya mjadala uliodumu miezi sita bila ya kusimama kuhusu kitabu cha Abdul Sykes.
Hili lilikuwa halijapata kutokea.
Yapo mengi si kweli kuwa napuuzwa.
Fanya utafiti wako kwa utulivu upate kunifahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa,nimemweleza kasoro hiyo ya kuwa biased!Nadhani anajua zaidi ya hicho anachoandika ila anaamua tu kuelezea uoande mmoja kwa manufaa anayotaka yeye!Mohamed Said kwa hiyo unaijua historia ya TANU ya watu wa kariakoo tu, siyo Tanganyika yote, huku Songea wana TANU walikuwa wanawajua Nyerere na Kambona na viongozi wa vyama vya ushirika tu maana ndio waliokuwa wanakuja kuwahamasisha watu, historia ya TANU ni pana sana haiishii kariakoo na magomeni tu, kuandika historia ya wazee wa kariakoo peke yake, hauwatendei haki wapigania uhuru wengine wa mikoani
Bome...Unaamini maandiko yako yamewafikia asilimia ngapi ya watanzani?Tukichukua vijana 100,umri kati ya miaka 20-40 randomly,unadhani ni wangapi wanaweza kuelezea historia ya uhuru wa nchi yetu?Hapa namaanisha kwa mujibu wa unavyoelezea historia!
Bome...Kweli kabisa,nimemweleza kasoro hiyo ya kuwa biased!Nadhani anajua zaidi ya hicho anachoandika ila anaamua tu kuelezea uoande mmoja kwa manufaa anayotaka yeye!
uko sahihi! nimempa mchango wa vyama vya ushirika kwenye harakati za kupigania uhuru, mpaka viongozi wa vyama vya ushirika wakapewa vyeo serikalini na kwenye baraza la mawaziri la tanganyika, lakini mohamed said anajifanya hajui mchango wake, kwa sababu sio miongoni mwa wapendwa wake anaowataka, anachofanya ni kuchagua wachache anaowataka yeye, hicho kitabu chake hakielezi historia yote ya TANU, bali ni historia ya wapendwa wake wachache ndani ya TANU.Kweli kabisa,nimemweleza kasoro hiyo ya kuwa biased!Nadhani anajua zaidi ya hicho anachoandika ila anaamua tu kuelezea uoande mmoja kwa manufaa anayotaka yeye!
Kabisa mkuu,nimeoma unavyomchallange lakini anakwepa!Mara aseme wengine nao waandike!Kama anataka historia iwe sawa,basi suala la kuchagua wapendwa wake ni lazima aliweke kando!Yaani mpaka watu waliojitolea kumpa Nyerere vitafunwa na mboga mboga ilimradi tu ni wa upande wake,basi kawaelezea kwa kina sana!uko sahihi! nimempa mchango wa vyama vya ushirika kwenye harakati za kupigania uhuru, mpaka viongozi wa vyama vya ushirika wakapewa vyeo serikalini na kwenye baraza la mawaziri la tanganyika, lakini mohamed said anajifanya hajui mchango wake, kwa sababu sio miongoni mwa wapendwa wake anaowataka, anachofanya ni kuchagua wachache anaowataka yeye, hicho kitabu chake hakielezi historia yote ya TANU, bali ni historia ya wapendwa wake wachache ndani ya TANU.
Laki...uko sahihi! nimempa mchango wa vyama vya ushirika kwenye harakati za kupigania uhuru, mpaka viongozi wa vyama vya ushirika wakapewa vyeo serikalini na kwenye baraza la mawaziri la tanganyika, lakini mohamed said anajifanya hajui mchango wake, kwa sababu sio miongoni mwa wapendwa wake anaowataka, anachofanya ni kuchagua wachache anaowataka yeye, hicho kitabu chake hakielezi historia yote ya TANU, bali ni historia ya wapendwa wake wachache ndani ya TANU.
Bome...Kabisa mkuu,nimeoma unavyomchallange lakini anakwepa!Mara aseme wengine nao waandike!Kama anataka historia iwe sawa,basi suala la kuchagua wapendwa wake ni lazima aliweke kando!Yaani mpaka watu waliojitolea kumpa Nyerere vitafunwa na mboga mboga ilimradi tu ni wa upande wake,basi kawaelezea kwa kina sana!
Very nice, huyu mdini aliyekubuhu (Mohamed Said) amekua akim-potray Mwalimu Nyerere kuwa ni wakuja, hakustaarabika na hivyo ustaarabu alifundishwa na hao wazee wake, na nk.Nilishacomment huko nyuma na narudia tena...umekuwa unamlenga na kumtaja Mwalimu kama Mtu aliyezuka tu na kubebwa na unaowaita 'Wazee wako'.
Si hilo tu, pia anapambana kuaminisha kuwa harakati za uhuru zilianzishwa na kukamilishwa na waislamu (yaani ukizungumza uhuru basi taja/tukuza uislamu)...Very stupid!Unataka tuamini ya kwamba harakati za kupigania uhuru wa nchi hii zilianza na kukamilishwa kwenye eneo moja tu ilihali nchi hii ni kubwa , na karibia kila jimbo kulikuwa na harakati/mawasiliano na kazi zilifanyika.
Automata,Very nice, huyu mdini aliyekubuhu (Mohamed Said) amekua akim-potray Mwalimu Nyerere kuwa ni wakuja, hakustaarabika na hivyo ustaarabu alifundishwa na hao wazee wake, na nk.
Automata,Si hilo tu, pia anapambana kuaminisha kuwa harakati za uhuru zilianzishwa na kukamilishwa na waislamu (yaani ukizungumza uhuru basi taja/tukuza uislamu)...Very stupid!