Tusidanganyane, Barcelona haina mashabiki halisi Afrika

Tusidanganyane, Barcelona haina mashabiki halisi Afrika

Nimeanza kuishabikia Barca Game ya Arsenal v Barca ktk ile final. Game ya leo nakumbuka mbali kidogo.
 
Ukiangalia kiundani utakuja kugundua Barcelona haina mashabiki Africa wala Middle-East na Asia yote kwa ujumla, ila kuna Messi fanboys tu. Hawa kazi Yao ni kupiga kelele tu Messi is the best player in the World. Kuna mmoja juzi huko India alikuwa sooo annoying jamaa akaamua kumuulia mbali kupunguza kelele.
 
kila jambo lina muda wake hakuna shabiki aliyeanza kuishabikia timu yoyote ikiwa inafanya vibaya, hivyo mtoa mada usitokwe na povu ndani ya miaka hii 10 hakuna club yenye mafanikio zaidi ya barcelona
 
ni kweli kabisa barca haina mashabiki wa die hard mi ni arsenal na ac millan zote nilianza kuzipenda 2003 niliishabikia barca kipindi GAUCHO,DECO na ETO'O ila nikashindwa ishabikia barca kwenye fainali ya 2006 tangu hapo hili timu silipendi kaa nini.
 
huwezi kuipenda fc barcelona wakat we ni shabiki wa arsenal, kumbka arsenal imekua ni ngazi ya barcelona katika Uefa
 
huwezi kuipenda fc barcelona wakat we ni shabiki wa arsenal, kumbka arsenal imekua ni ngazi ya barcelona katika Uefa
mkuu mada inasema "
TUSIDANGANYANE, BARCELONA FC haina DIE HARD fans Afrika, isipokuwa MAKAPI ya EPL". sasa maswala ya arsenal ya arsenal kuwa ngazi yanakujaje tena.
 
mkuu mada inasema "
TUSIDANGANYANE, BARCELONA FC haina DIE HARD fans Afrika, isipokuwa MAKAPI ya EPL". sasa maswala ya arsenal ya arsenal kuwa ngazi yanakujaje tena.
Naona dawa inaanza kukuingia vizur
 
Ukiangalia kiundani utakuja kugundua Barcelona haina mashabiki Africa wala Middle-East na Asia yote kwa ujumla, ila kuna Messi fanboys tu. Hawa kazi Yao ni kupiga kelele tu Messi is the best player in the World. Kuna mmoja juzi huko India alikuwa sooo annoying jamaa akaamua kumuulia mbali kupunguza kelele.
****thread closed****
 
mkuu mada inasema "
TUSIDANGANYANE, BARCELONA FC haina DIE HARD fans Afrika, isipokuwa MAKAPI ya EPL". sasa maswala ya arsenal ya arsenal kuwa ngazi yanakujaje tena.
mada imekuja mezani wakati huu ambapo arsenal ana kibarua kigumu cha kuikabili barcelona, coz mashabik wengi wa arsenal ndo hoja yao
 
Simple tu ukiwa shabiki wa la liga au timu yoyote ya Spain iwe barca, atletico, deportivo, au hats malaga hakuna presha unakaa chini unaangalia kandanda safi inavochakatwa sio EPL homa tupu APA najua mashabiki wa arsenal wengi kesho hatutakua nao maofsini wanaugulia presha
 
afadhali umejitambulisha mapema ili wakati mkipokea adhabu hapo baadae tusiifikiria hii thread yako
 
hivi die hard unamaanisha nini? hivi arsenal au man u wakishuka hata championiship wasiwepo kuna mashabiki wabongo watabaki?
 
hata kama utaichukia Barcelona haitobadili maana ya "timu bora kwa sasa duniani"
 
by that tym hao wanaojiita die hard wanaanza kuzishabikia hizi timu ambazo leo zinafanya vibaya kipindi hicho zilikua on fire ndo maana walishawishika kuzishabikia, kwanin uumie watu wengine kuishabikia barcelona
 
mkuu mada inasema "
TUSIDANGANYANE, BARCELONA FC haina DIE HARD fans Afrika, isipokuwa MAKAPI ya EPL". sasa maswala ya arsenal ya arsenal kuwa ngazi yanakujaje tena.
Mleta mada ni mnazi wa Arsenal, na kaandika hii post kiunazi, hii inatokana na kuwa na stress za matokeo ya leo pale Camp Nou.
 
Huo ndo ukweli, Barcelona Fc haina mashabiki wa kweli kutoka Afrika. Wengi ni VIHEREHERE TU, wasio jitambua na waliokuwa HEART BROKEN kwa timu zao za EPL kufanya vibaya.
PNC anajua hili, yaani ni MAKAPI ya CHELSICK FC, MANUTD, na ARSENAL fc tena vishabiki vyenyewe ni vile vyenye roho nyepesi kama unyoya.
Nawaheshimu sana FANS wa Liver, wako loyal.

MIMI NI ARSENAL FAN and will ALWAYS BE, ila nami sitakuwa jukwaa la ARSENAL mpaka WENGER AONDOKE!

heh heh heh upo sawa kabisa mkuu na nawaona makapi wanatokwa na povu kwenye hii thread
 
Back
Top Bottom