Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mim ni Chelsea ,sijachelewa kama wewMkuu, wewe timu gani?
Ni Mungu ndo alipanga nichelewe kuja duniani, ndo maana nikachelewa kufatilia soka pia.mim ni Chelsea na nimeanza kuishabikia 2004 wakati nikiwa na miaka 7,sijachelewa kama wew
huwezi kuipenda fc barcelona wakat we ni shabiki wa arsenal, kumbka arsenal imekua ni ngazi ya barcelona katika Uefani kweli kabisa barca haina mashabiki wa die hard mi ni arsenal na ac millan zote nilianza kuzipenda 2003 niliishabikia barca kipindi GAUCHO,DECO na ETO'O ila nikashindwa ishabikia barca kwenye fainali ya 2006 tangu hapo hili timu silipendi kaa nini.
mkuu mada inasema "huwezi kuipenda fc barcelona wakat we ni shabiki wa arsenal, kumbka arsenal imekua ni ngazi ya barcelona katika Uefa
Naona dawa inaanza kukuingia vizurmkuu mada inasema "
TUSIDANGANYANE, BARCELONA FC haina DIE HARD fans Afrika, isipokuwa MAKAPI ya EPL". sasa maswala ya arsenal ya arsenal kuwa ngazi yanakujaje tena.
****thread closed****Ukiangalia kiundani utakuja kugundua Barcelona haina mashabiki Africa wala Middle-East na Asia yote kwa ujumla, ila kuna Messi fanboys tu. Hawa kazi Yao ni kupiga kelele tu Messi is the best player in the World. Kuna mmoja juzi huko India alikuwa sooo annoying jamaa akaamua kumuulia mbali kupunguza kelele.
mada imekuja mezani wakati huu ambapo arsenal ana kibarua kigumu cha kuikabili barcelona, coz mashabik wengi wa arsenal ndo hoja yaomkuu mada inasema "
TUSIDANGANYANE, BARCELONA FC haina DIE HARD fans Afrika, isipokuwa MAKAPI ya EPL". sasa maswala ya arsenal ya arsenal kuwa ngazi yanakujaje tena.
Mleta mada ni mnazi wa Arsenal, na kaandika hii post kiunazi, hii inatokana na kuwa na stress za matokeo ya leo pale Camp Nou.mkuu mada inasema "
TUSIDANGANYANE, BARCELONA FC haina DIE HARD fans Afrika, isipokuwa MAKAPI ya EPL". sasa maswala ya arsenal ya arsenal kuwa ngazi yanakujaje tena.
Huo ndo ukweli, Barcelona Fc haina mashabiki wa kweli kutoka Afrika. Wengi ni VIHEREHERE TU, wasio jitambua na waliokuwa HEART BROKEN kwa timu zao za EPL kufanya vibaya.
PNC anajua hili, yaani ni MAKAPI ya CHELSICK FC, MANUTD, na ARSENAL fc tena vishabiki vyenyewe ni vile vyenye roho nyepesi kama unyoya.
Nawaheshimu sana FANS wa Liver, wako loyal.
MIMI NI ARSENAL FAN and will ALWAYS BE, ila nami sitakuwa jukwaa la ARSENAL mpaka WENGER AONDOKE!