johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sumu haionjwi!Ukitaka kujua chadema ina wenyewe muulize Sumaye alipoonesha nia ya kutaka kugombea uenyekiti wa chama ngazi ya Taifa
.... Sumaye mwenyewe yuko wapi leo? From nowhere tu akabidhiwe uenyekiti! Wapi hiyo iliwahi kutokea? Chama kile kimejengwa kwa jasho na damu elewa hilo.Ukitaka kujua chadema ina wenyewe muulize Sumaye alipoonesha nia ya kutaka kugombea uenyekiti wa chama ngazi ya Taifa
... Sumaye yuko wapi leo? Huyu ndio alitaka akabidhiwe uenyekiti wa Chadema? Duh!Sumu haionjwi!
Ni kweli.... Sumaye yuko wapi leo? Huyu ndio alitaka akabidhiwe uenyekiti wa Chadema? Duh!
Mchungaji Msigwa alisema bayana yale ni mawazo yake binafsi siyo ya Chadema!Kuna tofauti kubwa kati ya alichoandika Msigwa na alichoongea Ndugai, ukiangalia kwa nje wote walionekana kutumia uhuru wao wa kutoa maoni.
Lakini kwa ndani, alichokiandika Msigwa kwa nafasi yake kama mpinzani hatakiwi kuwashauri CCM nani wa kumchagua, sababu huyo atakayechaguliwa kuwa spika akianza kuwabeba CCM wenzake bungeni Msigwa kama mpinzani atakosa namna ya kumponda.
Lema aliona mbele zaidi kwa alichofanya.
... anyway, mimi nilimwelewa Msigwa kwa mtazamo tofauti; it is as if aliongea lugha ya kinyume! Kwamba kutokana na CCM kutamalaki katika ufisadi wanamhitaji spika wa viwango hivyo pia na ndio maana "akapendekeza" jina alilopendekeza; the guy (Msigwa) is so philosophical. I might be wrong as well.Kuna tofauti kubwa kati ya alichoandika Msigwa na alichoongea Ndugai, ukiangalia kwa nje wote walionekana kutumia uhuru wao wa kutoa maoni.
Lakini kwa ndani zaidi, alichokiandika Msigwa kwa nafasi yake kama mpinzani hatakiwi kuwashauri CCM nani wa kumchagua, sababu huyo atakayechaguliwa kuwa spika akianza kuwabeba CCM wenzake bungeni Msigwa kama mpinzani atakosa namna ya kumponda sababu alikuwa chaguo lake.
Lema aliona mbele zaidi kwa alichofanya.
What a crap 💩CCM imeshatangaza mchakato wa kumpata Spika mpya wa bunge la JMT kupitia chama hicho baada ya kumfurusha " Wakuja" Job Ndugai.
Mchungaji Msigwa akajaribu kuwafundisha CCM ni nani atayefaa kuwa Spika mpya ili kuleta mshikamano bungeni lakini akafokewa na kuagizwa " KUFUTA" mara moja huo ushauri na Godbless Lema hatimaye Msigwa aliufyata akafuta.
Lakini ngome ya Mkwawa iliibuka na kumtaka mchungaji Msigwa arejeshe bandiko lake mtandaoni kwani ule ni ushauri wake binafsi.
Unaweza kujiuliza kama Chadema haina " Wenyewe" huyu Godbless Lema anapata wapi jeuri ya kumuamrisha mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa?
Mwamba tuvushe salama!
... mahali sahihi panapowastahili watu aina ya Sumaye ni CCM sio Chadema. You know why.Ni kweli.
Chadema ina wenyewe Sumaye akarejea kwao!
Na mchungaji Msigwa?... mahali sahihi panapowastahili watu aina ya Sumaye ni CCM sio Chadema. You know why.
Sumaye chokoraa hana kwao,hata huko ccm hana nguvu ,Ni kweli.
Chadema ina wenyewe Sumaye akarejea kwao!
Mchungaji Msigwa ana nguvu hapo Ufipa?Sumaye chokoraa hana kwao,hata huko ccm hana nguvu ,
HanaMchungaji Msigwa ana nguvu hapo Ufipa?
Kwa akili ya kawaida tu unaweza mpa Sumaye u mwenyekiti wa chama serious kama CHADEMA?Ukitaka kujua chadema ina wenyewe muulize Sumaye alipoonesha nia ya kutaka kugombea uenyekiti wa chama ngazi ya Taifa
Umeupiga mwingi kama Pele... anyway, mimi nilimwelewa Msigwa kwa mtazamo tofauti; it is as if aliongea lugha ya kinyume! Kwamba kutokana na CCM kutamalaki katika ufisadi wanamhitaji spika wa viwango hivyo pia na ndio maana "akapendekeza" jina alilopendekeza; the guy (Msigwa) is so philosophical. I might be wrong as well.
Chama cha Siasa ni mali ya wanachama Ila kwa CDM ni tofauti.CCM imeshatangaza mchakato wa kumpata Spika mpya wa bunge la JMT kupitia chama hicho baada ya kumfurusha " Wakuja" Job Ndugai.
Mchungaji Msigwa akajaribu kuwafundisha CCM ni nani atayefaa kuwa Spika mpya ili kuleta mshikamano bungeni lakini akafokewa na kuagizwa " KUFUTA" mara moja huo ushauri na Godbless Lema hatimaye Msigwa aliufyata akafuta.
Lakini ngome ya Mkwawa iliibuka na kumtaka mchungaji Msigwa arejeshe bandiko lake mtandaoni kwani ule ni ushauri wake binafsi.
Unaweza kujiuliza kama Chadema haina " Wenyewe" huyu Godbless Lema anapata wapi jeuri ya kumuamrisha mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa?
Mwamba tuvushe salama!