Tusidanganyane: CCM ina Wenyewe na CHADEMA ina wenyewe pia, angalia Job Ndugai na Mchungaji Msigwa Walivyofokewa

Tusidanganyane: CCM ina Wenyewe na CHADEMA ina wenyewe pia, angalia Job Ndugai na Mchungaji Msigwa Walivyofokewa

Mchungaji Msigwa alisema bayana yale ni mawazo yake binafsi siyo ya Chadema!
Alikwambia hivyo mkiwa wapi? yalikuwa mawazo yake binafsi yenye kumtia kitanzi mwenyewe mbele ya safari, kuokolewa hapo haliwezi kuwa kosa.
 
Chama cha Siasa ni mali ya wanachama Ila kwa CDM ni tofauti.

Fact kwamba CHADEMA ilianzishwa na mkwewe Freeman Mbowe, Mzee Edwin Mtei ndiyo inayomharibu Mbowe. Anajiona ni Mwenyekiti wa maisha na Chama ni chake
Chadema haikuanzishwa na mzee Mtei peke yake.

Walioasisi Chadema ni pamoja na Mtei, Bob Makani, Shanga, Ngaiza na Tuntemeke Sanga!
 
Alikwambia hivyo mkiwa wapi? yalikuwa mawazo yake binafsi yenye kumtia kitanzi mwenyewe mbele ya safari, kuokolewa hapo haliwezi kuwa kosa.
Ameandika hivyo kwenye bandiko lake au wewe umesimuliwa mbegeni?
 
Mimi nadhani kila mtu ana uhuru binafsi katika mitandao hii yakijamii alichoandika msigwa ni maoni yake binafsi kwa kuangalia bunge lilivyoundwa ki ccm ,lema nae aweke mawazo yake na sio kumkomandi msigwa kila mmoja ana mitazamo yake ni wazi kuwa spika kwa silimia nyingi lazma atoke ccm labda nae apendekeze anamtaka nani kwenye uspika
 
Nimekuelewa bwashee!
 
CCM imeshatangaza mchakato wa kumpata Spika mpya wa bunge la JMT kupitia chama hicho baada ya kumfurusha " Wakuja" Job Ndugai.

Mchungaji Msigwa akajaribu kuwafundisha CCM ni nani atayefaa kuwa Spika mpya ili kuleta mshikamano bungeni lakini akafokewa na kuagizwa " KUFUTA" mara moja huo ushauri na Godbless Lema hatimaye Msigwa aliufyata akafuta.

Lakini ngome ya Mkwawa iliibuka na kumtaka mchungaji Msigwa arejeshe bandiko lake mtandaoni kwani ule ni ushauri wake binafsi.

Unaweza kujiuliza kama Chadema haina " Wenyewe" huyu Godbless Lema anapata wapi jeuri ya kumuamrisha mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa?

Mwamba tuvushe salama!

Chama dola na tawala ni kimoja tu tangu tupate uhuru toka kwa mkoloni. Ni CCM. Ndicho chenye kumiliki serikali, mihimili yote na vyombo vyote vya dola. Ndicho chenye athari kwenye maisha yetu. Hilo tayari ni janga la kitaifa.

Sasa kama tena kinamilikiwa na kikundi cha mafiosi (hao wenyewe), basi huo ni msiba mkubwa kwa mustakabali wa taifa hili.

Nini CHADEMA? Hilo ni kama koti tu. Likikubana, unalivua unavaa jengine! Ina wenyewe? Who cares? Tuna zaidi ya vyama 10 vya upinzani na fursa ya kuanzisha vingine kibao.

Hili bandiko ni pointless.
 
.... Sumaye mwenyewe yuko wapi leo? From nowhere tu akabidhiwe uenyekiti! Wapi hiyo iliwahi kutokea? Chama kile kimejengwa kwa jasho na damu elewa hilo.
Kwani ilikuwaje kwa Lowasa ewe mdanganyika?
 
Sijauona huo ujumbe wa Msigwa bwashee km ni kweli mnywa mbege alimfokea mnywa ulanzi hiyo haijakaa poa kabisa
 
Chama dola na tawala ni kimoja tu tangu tupate uhuru toka kwa mkoloni. Ni CCM. Ndicho chenye kumiliki serikali, mihimili yote na vyombo vyote vya dola. Ndicho chenye athari kwenye maisha yetu. Hilo tayari ni janga la kitaifa.

Sasa kama tena kinamilikiwa na kikundi cha mafiosi (hao wenyewe), basi huo ni msiba mkubwa kwa mustakabali wa taifa hili.

Nini CHADEMA? Hilo ni kama koti tu. Likikubana, unalivua unavaa jengine! Ina wenyewe? Who cares? Tuna zaidi ya vyama 10 vya upinzani na fursa ya kuanzisha vingine kibao.

Hili bandiko ni pointless.
CCM ni muungano wa TANU na ASP, usisahau hilo.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya alichoandika Msigwa na alichoongea Ndugai, ukiangalia kwa nje wote walionekana kutumia uhuru wao wa kutoa maoni.

Lakini kwa ndani zaidi, alichokiandika Msigwa kwa nafasi yake kama mpinzani hatakiwi kuwashauri CCM nani wa kumchagua.

Kwa sababu huyo atakayechaguliwa kuwa spika akianza kuwabeba CCM wenzake bungeni kwa maslahi yao, Msigwa kama mpinzani atakosa namna ya kumponda kwa kuwa atakuwa "alishajitega" kwa kumuunga mkono.

Lema aliona mbele zaidi kwa alichofanya.

CCM ni madikteta walimnyima Ndugai haki yake ya kuhoji jambo la msingi lenye maslahi kwa taifa, kukopa kwa taifa masikini kama letu lenye rasilimali zakutosha sio sifa, ni kuzidi kujidumaza akili.
Chenge huyu huyu ambaye tunaambiwa kila deal alikuwepo? Mzee wa visenti leo Msigwa anasema anafaa kuwa spika? Haki ya Mungu wanasiasa kama kweli moto upo basi unawafaa
 
Chama cha Siasa ni mali ya wanachama Ila kwa CDM ni tofauti.

Fact kwamba CHADEMA ilianzishwa na mkwewe Freeman Mbowe, Mzee Edwin Mtei ndiyo inayomharibu Mbowe. Anajiona ni Mwenyekiti wa maisha na Chama ni chake
Unaweza anzisha chama cha siasa peke yako? nipe muongozo
 
Back
Top Bottom