Tusidanganyane: CCM ina Wenyewe na CHADEMA ina wenyewe pia, angalia Job Ndugai na Mchungaji Msigwa Walivyofokewa

Sasa ana utofauti gani na Sumaye?

Maana mlimpa nafasi ya kugombea urais,!
... pamoja na kupewa nafasi he was being monitored 24 x 7; hatimaye akarudi panapomfaa! Samaki nje ya maji lazima afe; hajazoea maisha nje ufisadi.
 
Chama cha Siasa ni mali ya wanachama Ila kwa CDM ni tofauti.

Fact kwamba CHADEMA ilianzishwa na mkwewe Freeman Mbowe, Mzee Edwin Mtei ndiyo inayomharibu Mbowe. Anajiona ni Mwenyekiti wa maisha na Chama ni chake
Hoja ya CHADEMA kuwa Mbowe hanunuliki wala kunywea mbele ya suluba za dola huikubali?

Unaamini wapo wanachama wengine wanaoweza kuhimili vitisho vya dola hasa chini ya Rais modeli ya JPM hapo hapo wakikishikamanisha chama pamoja bila kuchoka?
 
Ukitaka kujua chadema ina wenyewe muulize Sumaye alipoonesha nia ya kutaka kugombea uenyekiti wa chama ngazi ya Taifa
Huyu alikua pandikizi, kama anaupenda uwenyekiti wa chama ni kwanini haonyeshi nia huko CCM?
 
.... Sumaye mwenyewe yuko wapi leo? From nowhere tu akabidhiwe uenyekiti! Wapi hiyo iliwahi kutokea? Chama kile kimejengwa kwa jasho na damu elewa hilo.
Alipata Kura ngapi?
 
Kwahiyo CHADEMA ni chama cha kubebwa?
 
.... Sumaye mwenyewe yuko wapi leo? From nowhere tu akabidhiwe uenyekiti! Wapi hiyo iliwahi kutokea? Chama kile kimejengwa kwa jasho na damu elewa hilo.
angewezaje kukaa sasa?
 
Hivi akina Lema ndio kina nani hasa huko Chadema? Yaani mtu kama Lema anaweza mfokea Msigwa? Hata Kwa akili tuu Lema ni kiazi.
 
Alikwambia hivyo mkiwa wapi? yalikuwa mawazo yake binafsi yenye kumtia kitanzi mwenyewe mbele ya safari, kuokolewa hapo haliwezi kuwa kosa.
Kwani CHADEMA ipo Hai?!!
 
Chadema haikuanzishwa na mzee Mtei peke yake.

Walioasisi Chadema ni pamoja na Mtei, Bob Makani, Shanga, Ngaiza na Tuntemeke Sanga!
Kwa Bob Makani( Shy town),ndiyo kabisaaaaa....CCM,haipendwi na huwa haishindi uchaguzi wowote ,...Cheki Na KATAMBI au MASELE..
 
... pamoja na kupewa nafasi he was being monitored 24 x 7; hatimaye akarudi panapomfaa! Samaki nje ya maji lazima afe; hajazoea maisha nje ufisadi.
Alikuwa monitored na nani?
 
Ukitaka kujua chadema ina wenyewe muulize Sumaye alipoonesha nia ya kutaka kugombea uenyekiti wa chama ngazi ya Taifa
Sumaye ndo reference πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yu wap leo??
 
Utaratibu ni pamoja na kuchukua watu mliowaita mafisadi?
... intelligence ya Chadema achana nayo; nimekwambia he was being monitored 24x7 akagundua hawezi kuishi bila ufisadi akarudi "nyumbani".
 
Mulimzodoa sana as if ni mtoto mdogo. Ndio maana akaamua kuondoka.
... hakuzodolewa; alielezwa utaratibu na kwa kuwa always ni aina ya watu ambao wamezoea kufanya mambo yao bila kuzingatia Katiba, taratibu, na sheria akaona hapamfai akarudi panapomfaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…