GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ukija na Hoja kuwa mbona kwa Misimu miwili walioenda Pre Season nje ya nchi hawajawa Mabingwa na aliyebaki Tanzania kawa Bingwa nami nitakuuliza mbona miaka minne nyuma aliyekuwa Bingwa mara Nne mfululizo ( huku Wewe na Timu yako Mkijitafuta ) alienda Pre Season Nje ya nchi na Wewe uliyebakia Tanzania hukuwa Bingwa?
Acheni Kuzuga ukweli hamna Pesa.
Acheni Kuzuga ukweli hamna Pesa.