GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mganga wetu kasema kwakuwa Ligi yote Kwa 100% itachezewa hapa hapa Bongo,hivyo dawa za ubingwa wa Ligi,FA,CAF CL zitakuwa na nguvu zaidi kama preseason tutaifanyia nchiniUkija na Hoja kuwa mbona kwa Misimu miwili walioenda Pre Season nje ya nchi hawajawa Mabingwa na aliyebaki Tanzania kawa Bingwa nami nitakuuliza mbona miaka minne nyuma aliyekuwa Bingwa mara Nne mfululizo ( huku Wewe na Timu yako Mkijitafuta ) alienda Pre Season Nje ya nchi na Wewe uliyebakia Tanzania hukuwa Bingwa?
Acheni Kuzuga ukweli hamna Pesa.
NAKAZIA KWA NGUVU ZOTE!Ukija na Hoja kuwa mbona kwa Misimu miwili walioenda Pre Season nje ya nchi hawajawa Mabingwa na aliyebaki Tanzania kawa Bingwa nami nitakuuliza mbona miaka minne nyuma aliyekuwa Bingwa mara Nne mfululizo ( huku Wewe na Timu yako Mkijitafuta ) alienda Pre Season Nje ya nchi na Wewe uliyebakia Tanzania hukuwa Bingwa?
Acheni Kuzuga ukweli hamna Pesa.
Sponsa kawekeza pesa mingi kwa mayele kwa hiyo bajeti ya pre season inatosha kwenda mji kasoro baharUkija na Hoja kuwa mbona kwa Misimu miwili walioenda Pre Season nje ya nchi hawajawa Mabingwa na aliyebaki Tanzania kawa Bingwa nami nitakuuliza mbona miaka minne nyuma aliyekuwa Bingwa mara Nne mfululizo ( huku Wewe na Timu yako Mkijitafuta ) alienda Pre Season Nje ya nchi na Wewe uliyebakia Tanzania hukuwa Bingwa?
Acheni Kuzuga ukweli hamna Pesa.
nendeni uturuki mkaongeze makalio sie tupo pale Avicii tukila karanga mbichi na nazi huku tukipiga tizi kali tukiwasubiri kuwazagamua vibaya vibayaUkija na Hoja kuwa mbona kwa Misimu miwili walioenda Pre Season nje ya nchi hawajawa Mabingwa na aliyebaki Tanzania kawa Bingwa nami nitakuuliza mbona miaka minne nyuma aliyekuwa Bingwa mara Nne mfululizo ( huku Wewe na Timu yako Mkijitafuta ) alienda Pre Season Nje ya nchi na Wewe uliyebakia Tanzania hukuwa Bingwa?
Acheni Kuzuga ukweli hamna Pesa.
NAKAZIA!Ukija na Hoja kuwa mbona kwa Misimu miwili walioenda Pre Season nje ya nchi hawajawa Mabingwa na aliyebaki Tanzania kawa Bingwa nami nitakuuliza mbona miaka minne nyuma aliyekuwa Bingwa mara Nne mfululizo ( huku Wewe na Timu yako Mkijitafuta ) alienda Pre Season Nje ya nchi na Wewe uliyebakia Tanzania hukuwa Bingwa?
Acheni Kuzuga ukweli hamna Pesa.
Endelea kukazwaNAKAZIA!
ukikaidi utapigwa2 kuna kiungo unakitumia kufikiri jiangalie...Endelea kukazwa
punguza JAZBA mtani [emoji16]MPIRA wetu una madudu mengi mno.
Tukiandika hapa HATUWEZI kumaliza.
1. Simba Ina TATIZO KUBWA sana kwenye No 6.
Hadi saizi nafasi zimejaa hakuna waliemsajili UJINGA mtupu
Hadi sasa Wamesajili JUMLA ya idadi ya mawinga 11.
2. Eneo la beki wa kati
MSIMU uliopita lilikuwa na Inonga, onyango, Ottara Nyoni na KENEDY JUMA.
Eo hii wamebakiwa na wachezaji watatu tu3 Mabeki, hata wakijigawa mazoezini hawatoshi.
UONGOZI WA SIMBA AMKENI ACHENI UPUMBAVU