technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kama wewe mgonjwa au umefiwa na mumeo sawa Ila Kama wewe ni mwanamke miaka 22 na ni under 40 sio mgonjwa na hujafiwa na mmeo huwezi kuwa single.
Tunadanganyana jamani hakuna mwanamke ambaye yupo single tusidanganyane tuambiane ukweli wanaume walio single wapo wengi Ila wanawake walio single hakuna labda kwa sifa nilizoziweka hapo juu.
Mimi binafsi nikiwa katika maongezi ya kawaida na demu akaniambia yupo single huwa namchana live kwamba aache uongo sijawahi kuwa mnafiki kwa hili usingle ukiwa mwanamke ni vigumu Sana sana.
Upo single simu imejaa mapassord kila mahali, Simu ikipigwa hupokei ukiwa umekaaa na mwanaume mwingine, sms zipo silence, ukipigiwa unaenda kupokea simu chooni wewe upo single wewe?
Eti nipo single upo single wewe unaimbwa mademu acheni Kama yupo aliye single aje hapa akanushe we upo single upo kwenye jukwaa la mapenzi Jamii forums.
Si mseme tu kwamba mpo na watu ambao sio mliowaota kuwa nao pale zamani.
Teh...teh..,😀😀😀