Tusidanganyane, hakuna mwanamke asiye na mpenzi

Tusidanganyane, hakuna mwanamke asiye na mpenzi

Kwa kizazi Cha Sasa?? Hamna mwanamke aliye SINGO.

Na ngumu sana kukuta mwanamke hajakulana Ndani ya mwezi Mmoja hata kama hayupo kwenye Mahusiano thabiti.

Nyie tusicomplicate mambo .. Tuendelee kulana tu basi
Hahaha, huwa wana kamsemo kao. Nina zaidi ya miezi sita sijanyanduliwa, haka kauongo sijui huwa wanamdanganya nani[emoji2957][emoji2957]
 
Nadhani sahihi ulitakiwa uweke hivi, hakuna mwanamke asieliwa mchebwede kwa sasa. Hata awe mubaya wahuni wanaishi nae tu.

Hizi ngonjera za single na taken hazina mantiki. Anaweza kukwambia single ila anabatuka freshi tu, au ukamla akiwa na pete zake 2 kidoleni.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Nakubali nakubali. Huu ndo ukweli
 
Kama wewe mgonjwa au umefiwa na mumeo sawa Ila Kama wewe ni mwanamke miaka 22 na ni under 40 sio mgonjwa na ujafiwa na mmeo huwezi kuwa single.

Si mseme tu kwamba mpo na watu ambao sio mnawaota kuwa nao pale zamani.

Teh...teh..,๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Umepigwa na kitu kizito sasa balaa linawashukia madem.wote
 
Back
Top Bottom