Tusidanganyane, hakuna mwanamke asiye na mpenzi

Tusidanganyane, hakuna mwanamke asiye na mpenzi

Asante kwa kuelewa, Thats a great move!
 
Kama wewe mgonjwa au umefiwa na mumeo sawa Ila Kama wewe ni mwanamke miaka 22 na ni under 40 sio mgonjwa na ujafiwa na mmeo huwezi kuwa single.

Tunadanganyana jamani hakuna mwanamke ambaye yupo single tusidanganyane tuambiane ukweli wanaume walio single wapo wengi Ila wanawake walio single hakuna labda kwa sifa nilizoziweka hapo juu.

Mimi binafsi nikiwa katika maongezi ya kawaida na demu akaniambia yupo single uwa namchana live kwamba aache uongo sijawai kuwa mnafiki kwa hili usingle ukiwa mwanamke ni vigumu Sana sana.

Upo single simu imejaa mapassord kila mahali, Simu ikipigwa upokei ukiwa umekaaa na mwanaume mwingine, sms zipo silence, ukipigiwa unaenda kupokea simu chooni wewe upo single wewe?

Eti nipo single upo single wewe unaimbwa mademu acheni Kama yupo aliye single aje hapa akanushe we upo single upo kwenye jukwaa la mapenzi Jamii forum.

Si mseme tu kwamba mpo na watu ambao sio mnawaota kuwa nao pale zamani.

Teh...teh..,[emoji3][emoji3][emoji3]
Una akili kama yangu. Nasisistiza, hakuna demu aliye single. Ni wanaume tu ndo huwa single.
 
Siku ukipata kikiozi kichopona,homa za mara kwa mara,ukafika hospital wakakuchukua dama ya kwenye mkono hlafu ukaona majibu yanachelewa ukiuliza uakajibiwa majibu yako tayari lkn kabla ya kukupa ukaulizwa umekuja na nani ndo utajua haujui
Hiyo ni ajali kazini tu mzee baba. Siwezi kuacha kuchakata mkuu
 
Kama wewe mgonjwa au umefiwa na mumeo sawa Ila Kama wewe ni mwanamke miaka 22 na ni under 40 sio mgonjwa na hujafiwa na mmeo huwezi kuwa single.

Tunadanganyana jamani hakuna mwanamke ambaye yupo single tusidanganyane tuambiane ukweli wanaume walio single wapo wengi Ila wanawake walio single hakuna labda kwa sifa nilizoziweka hapo juu.

Mimi binafsi nikiwa katika maongezi ya kawaida na demu akaniambia yupo single huwa namchana live kwamba aache uongo sijawahi kuwa mnafiki kwa hili usingle ukiwa mwanamke ni vigumu Sana sana.

Upo single simu imejaa mapassord kila mahali, Simu ikipigwa hupokei ukiwa umekaaa na mwanaume mwingine, sms zipo silence, ukipigiwa unaenda kupokea simu chooni wewe upo single wewe?

Eti nipo single upo single wewe unaimbwa mademu acheni Kama yupo aliye single aje hapa akanushe we upo single upo kwenye jukwaa la mapenzi Jamii forums.

Si mseme tu kwamba mpo na watu ambao sio mliowaota kuwa nao pale zamani.

Teh...teh..,[emoji3][emoji3][emoji3]
UKWELI MCHUNGU SANA HUU
 
Back
Top Bottom