Tusidanganyane, hakuna mwanamke asiye na mpenzi

Tusidanganyane, hakuna mwanamke asiye na mpenzi

mbona unajikanyaga mwenyewe unasema wanawake single hamna ila wanaume wapo weng single sasa hao nawake wapo kwenye mahusiano na mbwa ama kenge[emoji41] limbukeni wa mapenzi na maswala ya kijamii kama dada zako malaya sio wanawake wote
 
Hahaha umenichekesha sana kiukweli ndivyo ilivyo Dem MMOJA Kwa siku anatongozwa na wanaume 5 makadirio awe mzuri au mbaya Tena mzuri Ndo balaaa kabisa. Ndivyo ilivyo yaani huwezi kukuta mwanamke singo Ndo maana at m nikitongoza akikataa sibembelezi nakausha mazima. Ili mambo yasiwe mengi
Mkuu wanatakaga wabembelezwe, sasa ukaidi wako unakukosesha vingi
 
Hivi karibuni kuna demu wangu,aliniomba pesa nikamuahidi kumtumia hapo baadae,baada ya Mda flani akaniandikia SMS Kua asante pesa nimepokea ,Mimi nikamuambia poa,kumbe katumiwa nanjema nyingine ambayo sote tuliapngwa kutuma pesa,Ila mwenzangu katangulia kutuma demu kadhani Mimi.
 
[emoji23][emoji23] kuna pesa zinatoka kwa ndugu pia
 
Wewe umesema
Kwani wanawake mnasemaje?? mbona mpo km hampo??? kufanywa mfanywe nyie halafu msijitokeze!! jamani ila kusema kwweli me tumezidi….mie nilipiga mahesabu ya haraka haraka mademu zangu! heeee!

yaani idadi niliyo pata mpaka nikajiogopa kwa umri huu mdogo!! nilipata mademu Millioni saba kamili!...hapo ni woote hata wale nilio wakula kimasihara!..walio nibaka!! wake za watu! na vibinti mweeee!!

itabidi nioe tu!! ila ke bana punguzeni bana!! mnasumbua sana!! sasa mtu KM mie nimefanya weee! mpaka nimechoka lkn nyie bado tyuuuu! unanifuata fuata hasa weye Khadija Msomali!
 
Back
Top Bottom