Tusidanganyane, hakuna mwanamke asiye na mpenzi

Tusidanganyane, hakuna mwanamke asiye na mpenzi

Katika vitu ambavyo nikiingia kwenye mahusiano huwa sijali ni kutaka kujua kama ana mtu au hana.

Mimi lengo ni kusuuza rungu tu. Hayo mengine ya kuwa na mtu au single sinaga habari nayo
Siku ukipata kikiozi kichopona,homa za mara kwa mara,ukafika hospital wakakuchukua dama ya kwenye mkono hlafu ukaona majibu yanachelewa ukiuliza uakajibiwa majibu yako tayari lkn kabla ya kukupa ukaulizwa umekuja na nani ndo utajua haujui
 
Back
Top Bottom