Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Wakuu
Ingawa ni ukweli dawa chungu ndo inayoponya, basi hatuna budi kuupokea ukweli huu
Ukimuuliza hata mgunda hapo bado atakwambia the same hawajui watashinda vipi!
Team ipo ipo tu imepoteza matumaini mbele ya wenzao yanga
Wamezidiwa kila kitu kwanzia
Quality ya wachezaji
Benchi la ufundi
Mafanikio
Takwimu
Robertinho unatakiwa kujua Nabi ameshafukuzisha makocha kadhaa hapo mpaka Madam CEO kwahiyo mwenzako akinyolewa wewe tia maji
Kocha kama wewe ilikuwaje ukaifundisha team ya masela na wahuni kama simba? Kikundi tu cha walevi wa wanzuki kimekutana yaani umewezaje?
Kila la kheri kwenye maisha yako mapya nje ya hao wanywa wanzuki.
Leta matokeo….!!