Kumekuwa na Kasumba za kudanganya vijana kwamba mtu fulani alianza na mtaji wa matajiri kumi kwamba Leo anamiliki "yard ya magari " na kauli nyingine pendwa kama hizo mnazijua.
Mwisho wa siku hizi kauli zinaponza vijana wanaamua kuingia kwenye short cut au uganguzi baadaye yanawatokea puani
Hoja 1👉mtu atakopa kwa assets(immovable assets(nyumba na viwanja) wengine pia movable asets(magari) Tuwaambie tu watu ukweli biashara kubwa zinaendeshwa kwa mikopo
ni vile watu huwa hawataki kusema kibiashara kwenye
"s.w.o.t analysis tutasema hiyo ni "weakness" competitor wako akijua unaendesha kwa mikopo
Hoja 2👉Watu wengine wana back up ya kazi za kuajiriwa (haswa wa serikalini) mtu atakopa kwa mshahara wake Ata clear zile kodi zote kwa mshahara
Ndio maana unakuta biashara zao hazifi we ngumbalu kopa uone Sasa 🤔
(Mara nyingi hizi ni biashara at survival stage (biashara inakuwa kwenye B.E.P(break even point) - it doesnt bring loses or profit but it returns the cost of capital and cost of running the operations)
Naomba niconclude kwa kusema kama unataka kufuata njia ya halali ukiachana hizi drugs deals na embezzlement ambazo wanatakaTisha fedha (Bila mkopo sahau hiyo neema kunyanyua biashara kubwa kubwa na mradi mkubwa)
👉Vigezo tu usianzishe biashara kwa mkopo Bila kuwa na back up ya kutosha ku-compensate ilo Deni lazima biashara ikulize
(Ruksa kupinga mada) lakini my point ni kutaka kuwaambia vijana ukweli. Jamii forum ni sehemu huru ku-express mawazo.
Nawasilisha kwa uchangiaji.