Tusidanganyane, hakuna tajiri aliyefanikiwa kufika malengo makubwa bila mikopo

Tusidanganyane, hakuna tajiri aliyefanikiwa kufika malengo makubwa bila mikopo

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Kumekuwa na Kasumba za kudanganya vijana kwamba mtu fulani alianza na mtaji wa matajiri kumi kwamba Leo anamiliki "yard ya magari " na kauli nyingine pendwa kama hizo mnazijua.

Mwisho wa siku hizi kauli zinaponza vijana wanaamua kuingia kwenye short cut au uganguzi baadaye yanawatokea puani

Hoja 1👉mtu atakopa kwa assets(immovable assets(nyumba na viwanja) wengine pia movable asets(magari) Tuwaambie tu watu ukweli biashara kubwa zinaendeshwa kwa mikopo

ni vile watu huwa hawataki kusema kibiashara kwenye
"s.w.o.t analysis tutasema hiyo ni "weakness" competitor wako akijua unaendesha kwa mikopo

Hoja 2👉Watu wengine wana back up ya kazi za kuajiriwa (haswa wa serikalini) mtu atakopa kwa mshahara wake Ata clear zile kodi zote kwa mshahara

Ndio maana unakuta biashara zao hazifi we ngumbalu kopa uone Sasa 🤔
(Mara nyingi hizi ni biashara at survival stage (biashara inakuwa kwenye B.E.P(break even point) - it doesnt bring loses or profit but it returns the cost of capital and cost of running the operations)

Naomba niconclude kwa kusema kama unataka kufuata njia ya halali ukiachana hizi drugs deals na embezzlement ambazo wanatakaTisha fedha (Bila mkopo sahau hiyo neema kunyanyua biashara kubwa kubwa na mradi mkubwa)

👉Vigezo tu usianzishe biashara kwa mkopo Bila kuwa na back up ya kutosha ku-compensate ilo Deni lazima biashara ikulize

(Ruksa kupinga mada) lakini my point ni kutaka kuwaambia vijana ukweli. Jamii forum ni sehemu huru ku-express mawazo.

Nawasilisha kwa uchangiaji.
 
Wengine wanakopa wakachakate mbususu kama home boy wa Guinea.

Kila mtu ana kipaumbele chake.
 
Kuna mikopo na mikopo
Sio mkopo unakopa Leo unaambiwa utarejesha baada siku 7

Siku ya nne tu unapigiwa simu muda wa rejesho teyali mwisho saa sita

Ukichelewa muda huo kurejesha wanapigiwa watu wote kwenye simu Yako

Mkopo elfu 50 unapokea elfu 30 rejesho elfu 50 Kuna kuinuka kiuchumi hapo
 
Kuanzia 5M na kuendelea
 
Milioni kumi 20 30 kwenye biashara lazima unaumia .Kwanza. Mkopo huo WA muda mfupi tuseme mwaka.
Mkopo mzuri milioni 100 Mia mbili halafu unakuta miaka 10. Au 15 .lazima utoboe
 
Usikariri,,,,, sio wote wamekopa ,,,,kuna watu wamehustle from ground na wametoboa fresh tu, wengine wamerithishwa mali ,,,,,, !!!!!!

Ps,,,,utajiri ni siri, na siri ndio utajiri wenyewe! Ishi nayo
 
100 million sio mchezo mchezo

🤣Siri ipi mkuu
 
Usikariri,,,,, sio wote wamekopa ,,,,kuna watu wamehustle from ground na wametoboa fresh tu, wengine wamerithishwa mali ,,,,,, !!!!!!

Ps,,,,utajiri ni siri, na siri ndio utajiri wenyewe! Ishi nayo
Mkuu huo wa urithi tusiungumzie
 
Ili upate mkopo itakupasa uwe na (mali) yenye thamani ya mkopo kama dhamana.
 
Back
Top Bottom