Tusidanganyane, mimi napenda pesa sana

Tusidanganyane, mimi napenda pesa sana

roselina john

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2017
Posts
758
Reaction score
945
Napenda sana pesa sina haja ya kuficha,

Mwanaume akinipenda ajipange

  • Silali njaa.
  • Sipandi daladala Ni Uber au bajaji
  • Maharage nakula mara tatu tu kwa week
  • Natumia iPhone tu kuanzia 8+
  • Vocha naunga mwezi kifurushi
  • Shopping nafanya kwenye Malls na supermarket

Ndo maana najitahidi kujishughulisha nipate walau 4,000,000 kwa mwezi kwa biashara ya mchele na shares nilizoinvest DSE
 
Ila hata upendi pesa, kumbe bado unapanda bajaji na uber...bado bado sanaa, jitahidi sana, anayependa na hvyo vigezo ni mbingu na ardhi,..ww wa mbagala au buza, hapo unaona ndio pesa...dah elimu elimu elimu
 
Napenda sana pesa sina haja ya kuficha,

Mwanaume akinipenda ajipange

Silali njaa
Sipandi daladala Ni Uber au bajaji
Maharage nakula mara tatu tu kwa week
Natumia iPhone tu kuanzia 8+
Vocha naunga mwezi kifurushi
Shopping nafanya kwenye Malls na supermarket

Ndo maana najitahid kujisgughulisha nipate walau 4,000,000 kwa mwezi kwa biashara ya mchele na shares nilizoinvest DSE
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Dah eniwei bana chapa zako tu

Sent from my F3111 using JamiiForums mobile app
 
Napenda sana pesa sina haja ya kuficha,

Mwanaume akinipenda ajipange

Silali njaa
Sipandi daladala Ni Uber au bajaji
Maharage nakula mara tatu tu kwa week
Natumia iPhone tu kuanzia 8+
Vocha naunga mwezi kifurushi
Shopping nafanya kwenye Malls na supermarket

Ndo maana najitahid kujisgughulisha nipate walau 4,000,000 kwa mwezi kwa biashara ya mchele na shares nilizoinvest DSE
Huo ni ukahaba. Utakuja kuliwa kwa mpalange na kurekodiwa video sababu ya tamaa za pesa pumbavu wahedi.....

Umasikini wa damu sio mzuri.
 
Napenda sana pesa sina haja ya kuficha,

Mwanaume akinipenda ajipange

Silali njaa
Sipandi daladala Ni Uber au bajaji
Maharage nakula mara tatu tu kwa week
Natumia iPhone tu kuanzia 8+
Vocha naunga mwezi kifurushi
Shopping nafanya kwenye Malls na supermarket

Ndo maana najitahid kujisgughulisha nipate walau 4,000,000 kwa mwezi kwa biashara ya mchele na shares nilizoinvest DSE
Hayo matundu mawili yatateseka sana
 
Kuna kijana mmoja huwa nakutana na post zake humu naye ana mentality kama hii nadhani siyo akili ya kawaida nyie mna maradhi yanayowasumbua,mnajifariji bure tu life bongo ni tough hata hao richest people in the world mnaowasikia hajakuwepo bado wakufanya mbwembwe za kijinga mnazotamba nazo humu.
 
Back
Top Bottom