mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,249
- 1,813
Saaaaaafi, Muuza mchele, vipi makato unapeleka?Napenda sana pesa sina haja ya kuficha,
Mwanaume akinipenda ajipange
Silali njaa
Sipandi daladala Ni Uber au bajaji
Maharage nakula mara tatu tu kwa week
Natumia iPhone tu kuanzia 8+
Vocha naunga mwezi kifurushi
Shopping nafanya kwenye Malls na supermarket
Ndo maana najitahid kujisgughulisha nipate walau 4,000,000 kwa mwezi kwa biashara ya mchele na shares nilizoinvest DSE