Tusidanganyane, mimi napenda pesa sana

Tusidanganyane, mimi napenda pesa sana

Napenda sana pesa sina haja ya kuficha,

Mwanaume akinipenda ajipange

Silali njaa
Sipandi daladala Ni Uber au bajaji
Maharage nakula mara tatu tu kwa week
Natumia iPhone tu kuanzia 8+
Vocha naunga mwezi kifurushi
Shopping nafanya kwenye Malls na supermarket

Ndo maana najitahid kujisgughulisha nipate walau 4,000,000 kwa mwezi kwa biashara ya mchele na shares nilizoinvest DSE
Kwa hiyo wewe ni malaya unajiuza
 
😊😍😍habibti
Maneno matam Kama haya yanipa hamasa kuatafuta pesa Kama chizi
Kwako mateka nisiye na vikwazo😂😂
Uwena na siku poa
Asante kwa kuanza na maneno mazuri naamini siku yangu itaenda poa, ukizipata pesa leta nikutunzie😜
 
Una mawazo ya kimaskini Sana yani unaona kula maharage ni adhabu, yes wapenda pesa wewe kipato chako kikoje?
mimi sema ukweli maharage ndo chakula nachopenda sana hasa nikipata wali maharage na samaki au nyama ya kukaanga pembeni!! Burudani..yamenikuza hayo😋
 
mimi sema ukweli maharage ndo chakula nachopenda sana hasa nikipata wali maharage na samaki au nyama ya kukaanga pembeni!! Burudani..yamenikuza hayo[emoji39]
Mimi napenda maharage kuliko nyama,I always wonder why watu wanaona kula maharage ni umaskini?
Mimi maharage hayanichoshi hasa yenye nazi
 
Nyie ndio mnafirwa afu mwisho siku ukishachakaa unaachwa coz ukipenda sana pesa ya mwanaume ukubali pia kumpa kila anachokitaka
 
Napenda sana pesa sina haja ya kuficha,

Mwanaume akinipenda ajipange

Silali njaa
Sipandi daladala Ni Uber au bajaji
Maharage nakula mara tatu tu kwa week
Natumia iPhone tu kuanzia 8+
Vocha naunga mwezi kifurushi
Shopping nafanya kwenye Malls na supermarket

Ndo maana najitahid kujisgughulisha nipate walau 4,000,000 kwa mwezi kwa biashara ya mchele na shares nilizoinvest DSE
[emoji16][emoji16][emoji16]so tukianza kidate iphone yako ina haribika?
 
Kila mtu anacho anachokipenda.

Mimi napenda mabumunda ... Na makomamanga.
 
Nyie ndio mnafirwa afu mwisho siku ukishachakaa unaachwa coz ukipenda sana pesa ya mwanaume ukubali pia kumpa kila anachokitaka
Ni win-win situation mkuu...
Unapata unachotaka na Yeye anapata so hakuna maumivu hapo.
 
Napenda sana pesa sina haja ya kuficha,

Mwanaume akinipenda ajipange

Silali njaa
Sipandi daladala Ni Uber au bajaji
Maharage nakula mara tatu tu kwa week
Natumia iPhone tu kuanzia 8+
Vocha naunga mwezi kifurushi
Shopping nafanya kwenye Malls na supermarket

Ndo maana najitahid kujisgughulisha nipate walau 4,000,000 kwa mwezi kwa biashara ya mchele na shares nilizoinvest DSE

Huu uzi ulipigwa ban umerudi kivingine tena!mod siku hizi hawapendi mambo ya utopolo
 
Napenda sana pesa sina haja ya kuficha,

Mwanaume akinipenda ajipange

Silali njaa
Sipandi daladala Ni Uber au bajaji
Maharage nakula mara tatu tu kwa week
Natumia iPhone tu kuanzia 8+
Vocha naunga mwezi kifurushi
Shopping nafanya kwenye Malls na supermarket

Ndo maana najitahid kujisgughulisha nipate walau 4,000,000 kwa mwezi kwa biashara ya mchele na shares nilizoinvest DSE
Afadhazali lewe umekua mkweli, ila uwe tayari na wewe kutumia sehemu ya pesa yako kumhudumia na kumtunza huyo Mwanaume.
 
Acha tumuonee huruma mwanaume atakaye ingia kingi kwako ...kibaya zaidi ni atakapo taka kukufanya uwe wa milele ana kazi kubwa kukubadilisha mindset yako.
 
Back
Top Bottom