Napenda sana pesa sina haja ya kuficha,
Mwanaume akinipenda ajipange
- Silali njaa.
- Sipandi daladala Ni Uber au bajaji
- Maharage nakula mara tatu tu kwa week
- Natumia iPhone tu kuanzia 8+
- Vocha naunga mwezi kifurushi
- Shopping nafanya kwenye Malls na supermarket
Ndo maana najitahidi kujishughulisha nipate walau 4,000,000 kwa mwezi kwa biashara ya mchele na shares nilizoinvest DSE
Utakuwa na vinasaba na jiwe.
Hutoki Chatto wewe?