B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,443
- 3,002
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaNapenda sana pesa sina haja ya kuficha,
Mwanaume akinipenda ajipange
- Silali njaa.
- Sipandi daladala Ni Uber au bajaji
- Maharage nakula mara tatu tu kwa week
- Natumia iPhone tu kuanzia 8+
- Vocha naunga mwezi kifurushi
- Shopping nafanya kwenye Malls na supermarket
Ndo maana najitahidi kujishughulisha nipate walau 4,000,000 kwa mwezi kwa biashara ya mchele na shares nilizoinvest DSE
Be real
HahahaMkuu kumbuka mshumaa hauwashwi mbele na nyuma
Trick ya kupata watejaMillion 4 kwa mwezi umeshindwa hata kumiliki usafiri binafsi? We muongo mkubwa.
🤣🤣🤣 Nimecheka sana ndo unapoishi nn mkuu!mwanNyamala komakoma
Tuachane na matumizi ya kum(a) yako maana ni mali yako na unaitumia kivyako.Ndio maana najitahidi kujishughulisha nipate walau 4,000,000 kwa mwezi kwa biashara ya mchele na shares nilizoinvest DSE
Nimewahi kuishi hapo 😂😂 kwann nichekeshe mzee🤣🤣🤣 Nimecheka sana ndo unapoishi nn mkuu!
Hiyo location tu imekaa ki umaskini maskini ndo maanaNimewahi kuishi hapo 😂😂 kwann nichekeshe mzee
Story za kijiweni ni shida kaka LiverpoolTuachane na matumizi ya kum(a) yako maana ni mali yako na unaitumia kivyako.
Swali langu;-
1. Ni kampuni gani ume invest inayokupa return ya Mil 4 kwa mwezi??
2. Na ni share za kiasi gani??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Napenda sana pesa sina haja ya kuficha,
Mwanaume akinipenda ajipange
- Silali njaa.
- Sipandi daladala Ni Uber au bajaji
- Maharage nakula mara tatu tu kwa week
- Natumia iPhone tu kuanzia 8+
- Vocha naunga mwezi kifurushi
- Shopping nafanya kwenye Malls na supermarket
Ndo maana najitahidi kujishughulisha nipate walau 4,000,000 kwa mwezi kwa biashara ya mchele na shares nilizoinvest DSE
Hamna kawaida 😃...... Uwezo wa nyumba nilikuwa sinaHiyo location tu imekaa ki umaskini maskini ndo maana
Kitovu cha pisi kali dsm!!nikahamia sinza
Eeeeh kaka 😂 😂 kule pisi pisiKitovu cha pisi kali dsm!!
Ubaya wanataka hela ila uzuri wanao!Eeeeh kaka 😂 😂 kule pisi pisi