Tusidanganyane: Samatta ana miaka zaidi ya 35; mtazame yeye kisha mtazame Drogba

Duuuh kama ni hivyo basi yule Mohamed Samatta (Kaka yake Mbwana) wa Mbeya City atakua na Miaka 40, na Baba yao anaweza kuwa na Miaka 80....Hata hivyo mpongeze kwa kupiga mpira mkubwa kwenye umri wa miaka 35 (Haahahahah) . Chuki ikizidi sana, mishipa ya damu inaacha kupeleka damu kwenye Ubongo...
 
Ukweli tanzania ni chuki
 
Hujajibu ungependa yupi kati ya hao afanikiwe? Mafanaikio hayana mwisho.
Mwenye juhudi kupitia jasho lake na afanikiwe mm nani mpaka nipende fulani afanikiwe nani asifanikiwe?
 
Mwenye juhudi kupitia jasho lake na afanikiwe mm nani mpaka nipende fulani afanikiwe nani asifanikiwe?


Kwa hiyo kwako hakuna tofauti kati ya kufanikiwa kwa Samata na Drogba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…