Tusidanganyane: Samatta ana miaka zaidi ya 35; mtazame yeye kisha mtazame Drogba

Hata akiwa na miaka 50 bado amekua mfungaji bora ligi kubwa ya ulaya
 
Samata hana 35 yupo kati ya 29 hadi30 huko age moja na mdogo wangu wamesoma wote form 1mpk form four
Unataka uonekane unamjua si ndio leta picha aliyopga na mdogo wako pindi wanasoma wote
 
Samahani kaka km mmekosea ngoja nifute comment yangu!
Unataka uonekane unamjua si ndio leta picha aliyopga na mdogo wako pindi wanasoma wote

Wengine tunafunga hatutaki makwazo ya makusudi and if hutojali naomba nawe ufute!nsamehe km mmekosea kaka!
 
Mleta post anaongoza kufuatilia maisha ya watu kuliko yake......
 
Hii kawaida kwa wachezaji hasa wa Kiafrica lazima uwe na umri mbili yaani umri halisi wa kuzaliwa na umri wa kuchezea mpira, achilia mbali Samata ata wengine kwenye ligi ya nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…