Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe shida yako nini?2009 sio juZi ni miaka 10 nyuma
Sawa ana miaka 35 ila huoni anajitahidi kwa umri huo bado ana score na kuisaida team yake kuchukua ubingwa
Unaelimu gani? Tuanze na hapo?
Maana hakuna rais anayeitwa kikwete duniani
Mi ningependa asinye wolves [emoji191] hili chama hatariAnaenda kusinya Everton
Unataka uonekane unamjua si ndio leta picha aliyopga na mdogo wako pindi wanasoma wote
35 hafikishi, ila ni 30+ wabongo tunajuana bhana