Tusidanganyane vijana wenzangu, kukithiri kwa zinaa huleta umasikini

Hakika na anajisifia kabisa ye ndo kidume na wanataka wanawake wakubaliane na hali hio wakati ni tatizo kubwa....mi nilishasema mabadiliko yanaanza kwa wanaume ambao ni kichwa cha familia yaani wakibadilika,mabadiliko yatakuwa makubwa sana!
Maa shaa Allah you hit the point....👍

Exquisite 👍
 
🤣🤣
Nimekupata mkuu ha ha ha ha
 
Zinaa imeteka akili za ubunifu kabisa! Watanzania ni wajanja katika kutengeneza mazingira ya kula tunda kimasihara kuliko kujikwamua kwenye lindi la umasikini na ujinga!
Wacha vijana wafurahie uumbaji
 
Kiufupi starehe ndio inatukwamisha
.ngono ni moja ya starehe yenye ulevi mkali baada ya madawa..mbaya zaidi hizi starehe kuenda kuathiri watu kisaikolojia. Ukiwa mtu wa ngono hata ufanisi wa akili unadumaa...
 
Zama za sasa kumekuwa na Watoto wengi wa nje ya Ndoa, Kukithiri kwa MARADHI na hata UMASKINI.

Sababu ya haya yote ni kukithiri kwa ZINAA.

Kama unapinga pinga kwa hoja.
Umeongea kitu cha msingi sana,sijui huu ulimbukeni umetoka wapi? ni issue ya utandawazi au nini? Maana kuna wakati unaona kama kiu ya uzinzi kwa sasa imeongezeka sana.na tena wala siyo jambo la aibu,watu wamenormalize uzinzi,imetengenezwa terminalogy ya kiungwana flan hiv eti yule ni "Mchepuko" wangu badala tu ya kusema yule ni "mzinzi" mwenzangu
 
Zama za sasa kumekuwa na Watoto wengi wa nje ya Ndoa, Kukithiri kwa MARADHI na hata UMASKINI.

Sababu ya haya yote ni kukithiri kwa ZINAA.

Kama unapinga pinga kwa hoja.
Yaani mi njkimuona mtu anajiita dreva bodaboda imani yangu huwa inashuka kabisa,
Yaani bodaboda siku hizi ni mwendo wa ofa tu kwa dada zetu, huku wakifurahia maisha ya kupata mademu wa kutolea nyege zao kwa njia cheap kabisa ya kuwabeba kila siku kila wanakotaka kwenda[emoji23][emoji23],
Zinaa kwa vijana wa boda boda ni jadi yao na wana watoto kibao sana huku mitaani, na nyie mnaoambiwa na wife zenu eti wana bodaboda zao wa kuwapeleka wanakotaka, mnapigwa,
Bodaboda ni ajira ya kunyandua K za wake zetu bila kutumia nguvu nyingi,
Endelea kumuamni bodaboda sasa kwa mabinti au mkeo sasa
 
Wanafanya mpaka wote ata waliokuwa wastaarabu waonekane wa hovyo.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Ukifuatilia hata kwenye vitabu vya dini tawala nyingi zimeanguka kutokana na zinaa,

Ni uzinzi ndio uliomwangusha Mfalme Daudi,

Ni zinaa ndio iliyomwangusha Sulemani.

Ni zinaa hiyo hiyo Kwa Samsoni.

Uzinzi ni dhambi mbaya sana iliyoangusha falme nyingi.

Ila sijaona ufalme ulioangushwa kutokana na mfalme husika kuwa anakunywa pombe.

Ingawa nayo pombe ni chukizo Kwa Mungu, kwani Mungu anasema tujazwe na Roho Mtakatifu na sio ulevi.

Uzinzi na Pombe sio nzuri.
 
Mbona kama una malalamiko dada, umeolewa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…