Tusidanganyane wala Kuficha Uzi wa Yanga SC kwa CAFCL ni mzuri kuliko Wetu wa Simba SC wa CC

Tusidanganyane wala Kuficha Uzi wa Yanga SC kwa CAFCL ni mzuri kuliko Wetu wa Simba SC wa CC

Sijazoea Unafiki na najua kwa huu Ukweli wangu nitachukiwa mno na wasiopenda Ukweli na Wadau wa Unafiki.

Yanga SC wametuzidi Simba SC kwa Jezi nzuri katika Michuano ya Kimataifa inayoenda kuanza hivi karibuni.
"Comparison is a thief of joy".

Uzi wao Mzuri sio lazima ufananishe na Simba , Kila mmoja kafanya yake kivyake. Simba ni Simba na yanga ni yanga.
Shida kwanini wabadilishe Rangi zao za asili!? Ndo kusema sasa hivi hzi ndo Rangi zao
 
Back
Top Bottom