Tusidanganyane wala Kuficha Uzi wa Yanga SC kwa CAFCL ni mzuri kuliko Wetu wa Simba SC wa CC

"Comparison is a thief of joy".

Uzi wao Mzuri sio lazima ufananishe na Simba , Kila mmoja kafanya yake kivyake. Simba ni Simba na yanga ni yanga.
Shida kwanini wabadilishe Rangi zao za asili!? Ndo kusema sasa hivi hzi ndo Rangi zao
Rangi gani pale sio ya asili harafu nikuelekeze ni kwanini imetumika we mbumbumbu

Uzi wa kimataifa sio lazima uwe rangi sawa na wa mashindano ya ndani hasa kwa sisi tunaopenda vitu vipya kila cku
 
"Comparison is a thief of joy".

Uzi wao Mzuri sio lazima ufananishe na Simba , Kila mmoja kafanya yake kivyake. Simba ni Simba na yanga ni yanga.
Shida kwanini wabadilishe Rangi zao za asili!? Ndo kusema sasa hivi hzi ndo Rangi zao
Rangi za asili za arsenal ni zipi? Ile jezi ya punda milia unaijua?
 
"Comparison is a thief of joy".

Uzi wao Mzuri sio lazima ufananishe na Simba , Kila mmoja kafanya yake kivyake. Simba ni Simba na yanga ni yanga.
Shida kwanini wabadilishe Rangi zao za asili!? Ndo kusema sasa hivi hzi ndo Rangi zao
Kwani Simba jezi yenye rangi ya bluu ndio rangi za jezi za Simba asili?
Simba Haijawahi kua na rangi ya bluu tangu ianzishwe ni utamaduni mpya .
 
Sijazoea Unafiki na najua kwa huu Ukweli wangu nitachukiwa mno na wasiopenda Ukweli na Wadau wa Unafiki.

Yanga SC wametuzidi Simba SC kwa Jezi nzuri katika Michuano ya Kimataifa inayoenda kuanza hivi karibuni.
Angalia vizuri bila kukurupuka mkuu. Yanga haina uzi, Jessy. Imekuwanya Rangi mbalimbali na kutoa t-shirt. Wamehama kwenye corporate color. Simba imebakia palepale Nyekundu na nyeupe
 
Ninachokupendea mwamba ni kuwa haujawahi kupindisha ukweli kuwa uongo,najua ww ni mwanasimba mwandamizi na umekuwa ukiisemea simba kwa kipindi kirefu sasa. Kiujumla licha ya kuwa mwanasimba lialia lakini pia umekuwa mwanamichezo mpenda maendeleo. Umekuwa ukikosoa panapohtaji kukosolewa na umekuwa ukipongeza panapohtaji kupongezwa. Hata utani ni sehem ya maisha yako sehemu ya "kuingiza" kuweka ka utani umekuwa ukifanya hvyo!Hongera sana mwamba. Vipi umetoka uganda?
 
Kwani Simba jezi yenye rangi ya bluu ndio rangi za jezi za Simba asili?
Simba Haijawahi kua na rangi ya bluu tangu ianzishwe ni utamaduni mpya .
Watu bhana, Simba blue ni ziada lakini nyeupe na nyekundu zipo. Sasa yanga imetoka kwenye Rangi zake kbsaa, njano hakuna sasa hvi Kuna gold. Kijani sio Ile ya asili. Ndo tunachouliza kwanini mmebadilisha Rangi za asili!??
 
Ninachokupendea mwamba ni kuwa haujawahi kupindisha ukweli kuwa uongo,najua ww ni mwanasimba mwandamizi na umekuwa ukiisemea simba kwa kipindi kirefu sasa. Kiujumla licha ya kuwa mwanasimba lialia lakini pia umekuwa mwanamichezo mpenda maendeleo. Umekuwa ukikosoa panapohtaji kukosolewa na umekuwa ukipongeza panapohtaji kupongezwa. Hata utani ni sehem ya maisha yako sehemu ya "kuingiza" kuweka ka utani umekuwa ukifanya hvyo!Hongera sana mwamba. Vipi umetoka uganda?
Shida yake huyo mtoa post kafanya ulinganishi. Asifie jezi za Yanga kama Yanga bila kulinganisha . Yanga na Simba ni vitu viwili tofauti.
 
Sijazoea Unafiki na najua kwa huu Ukweli wangu nitachukiwa mno na wasiopenda Ukweli na Wadau wa Unafiki.

Yanga SC wametuzidi Simba SC kwa Jezi nzuri katika Michuano ya Kimataifa inayoenda kuanza hivi karibuni.
Sasa unakuwaje mzuri zaidi ya wa Simba wakati wa Yanga ni rangi tofauti na wa Simba? Na kila timu imeweka utamaduni wake kwenye jezi yake?
 
Shida yake huyo mtoa post kafanya ulinganishi. Asifie jezi za Yanga kama Yanga bila kulinganisha . Yanga na Simba ni vitu viwili tofauti.
simba bila yanga hainogi na vise versa ukijua hilo hata hautahangaika! Unataka ujue uzi ni mkali kwa kuangalia au kulinganisha?
 
Ninachokupendea mwamba ni kuwa haujawahi kupindisha ukweli kuwa uongo,najua ww ni mwanasimba mwandamizi na umekuwa ukiisemea simba kwa kipindi kirefu sasa. Kiujumla licha ya kuwa mwanasimba lialia lakini pia umekuwa mwanamichezo mpenda maendeleo. Umekuwa ukikosoa panapohtaji kukosolewa na umekuwa ukipongeza panapohtaji kupongezwa. Hata utani ni sehem ya maisha yako sehemu ya "kuingiza" kuweka ka utani umekuwa ukifanya hvyo!Hongera sana mwamba. Vipi umetoka uganda?
Uganda nitatoka ama 2026 au 2028 au hata 2030 kutegemea na Baraka zake Mwenyezi Mungu ila Desemba nitakuwa Kijijini Musoma (Butiama) na April mwakani (2025) nitarejea Dar es Salaam na Mapinga Bagamoyo Mkoani Pwani kwa Likizo fupi kama ya Wiki Mbili hivi kisha narejea tena hapa Uganda ambako nafanya Kazi Kubwa na Muhimu ya Kuiheshimisha nchi yangu Mama ya Tanzania baada ya Mimi pia kupewa Heshima Kubwa sana ambayo sikuwahi hata Siku Moja kutegemea kama ningeipata. Ashukuriwe sana Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom