GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Kwanini TISS wa Siku hizi hamjui Kujificha?hahahaha! mimi sio TISS kama wengi wanavyonidhania bali ni Gen Z wa kibongo niliyepigwa na maisha. msalimie mseven mwambie nami nipo mbioni kuja huko uganda kumfuatilia streika hatari kutoka hapo nchini kwake aje kumuongezea nguvu Prince M Dube.