GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Nov 21, 2024 Thread starter #61 holoholo said: hahahaha! mimi sio TISS kama wengi wanavyonidhania bali ni Gen Z wa kibongo niliyepigwa na maisha. msalimie mseven mwambie nami nipo mbioni kuja huko uganda kumfuatilia streika hatari kutoka hapo nchini kwake aje kumuongezea nguvu Prince M Dube. Click to expand... Kwanini TISS wa Siku hizi hamjui Kujificha?
holoholo said: hahahaha! mimi sio TISS kama wengi wanavyonidhania bali ni Gen Z wa kibongo niliyepigwa na maisha. msalimie mseven mwambie nami nipo mbioni kuja huko uganda kumfuatilia streika hatari kutoka hapo nchini kwake aje kumuongezea nguvu Prince M Dube. Click to expand... Kwanini TISS wa Siku hizi hamjui Kujificha?
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 5,879 Reaction score 11,318 Nov 22, 2024 #62 GENTAMYCINE said: Kwakuwa nimeisifia leo Yanga SC yako au? Click to expand... Kwani hilo ni jina lako mkuu?
GENTAMYCINE said: Kwakuwa nimeisifia leo Yanga SC yako au? Click to expand... Kwani hilo ni jina lako mkuu?
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Nov 22, 2024 #63 Saguda47 said: Ukiona kichaa anakusifu jua na wewe ni kichaa! Period Click to expand... Hahaaa natamaninkuona jibu lake🤣🤣
Saguda47 said: Ukiona kichaa anakusifu jua na wewe ni kichaa! Period Click to expand... Hahaaa natamaninkuona jibu lake🤣🤣
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Nov 22, 2024 #64 GENTAMYCINE said: Hivi unajua kuwa nakujua A to Z kuwa upo TISS na hata Mimi pia unanijua Z to A? Huku nilipo hakuna Mapori ya Kufyeka. Click to expand... Naona upo kwenye illusions hapo ukwamani
GENTAMYCINE said: Hivi unajua kuwa nakujua A to Z kuwa upo TISS na hata Mimi pia unanijua Z to A? Huku nilipo hakuna Mapori ya Kufyeka. Click to expand... Naona upo kwenye illusions hapo ukwamani
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Nov 22, 2024 #65 Mimi ni Mshabiki wa Simba ila ni kweli jezi za Simba SC ni za HOVYO SANA Utafikiri ya matangazo ya MPESA
Mimi ni Mshabiki wa Simba ila ni kweli jezi za Simba SC ni za HOVYO SANA Utafikiri ya matangazo ya MPESA