Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nikajua utaleta sababu za kimbinu na kiufundi kumbe unazungumzia umati na vitisho vya mashabiki. Ingekuwa mashabiki wanasaidia kushinda basi leo Yanga ingepata ushindi, mechi ya Wydad vs Simba, mashabiki wa Wydad wlijazana uwanjani lakini mwisho wakashika tama hawaamini kinachoendelea uwanjani. Mpira ni mbinu na kujipanga, na kutofanya makosa na kutumia nafasi. Hivyo bado Yanga ikijipanga vyema anaweza akashinda away. Ilishafanya hivyo, uwezo wa kushinda away upo, na haitokuwa mara kwanza kushinda away dhidi ya timu ya kiarabu. Kuna dakika 90 zingine kila mmoja kuzitumiaKuna watu wajinga sana tena wanajifanya watu wa mpira, eti yanga ina nafasi kule ugenini, pumbavu kweli.
Umati wa washabiki wa USM watakaojazana kwao ni mara 10 ya hapa Leo, vitisho na mikwara ndio usiseme
Yaani Yanga akamfunge mwarabu 2 0 kule kwao, tena kombe mezani, maninaaaa.Ntahama nchi hii.
Mara 10 ya hapa kwani wana uwanja unaingiza watu 600000?Kuna watu wajinga sana tena wanajifanya watu wa mpira, eti yanga ina nafasi kule ugenini, pumbav* kweli.
Umati wa washabiki wa USM watakaojazana kwao ni mara 10 ya hapa leo, vitisho na mikwara ndio usiseme.
Yaani Yanga akamfunge mwarabu 2-0 kule kwao, tena kombe mezani? Nitahama nchi hii.
Nilishuhudia matokeo ya ajabu ya mpira;Kuna watu wajinga sana tena wanajifanya watu wa mpira, eti yanga ina nafasi kule ugenini, pumbav* kweli.
Umati wa washabiki wa USM watakaojazana kwao ni mara 10 ya hapa leo, vitisho na mikwara ndio usiseme.
Yaani Yanga akamfunge mwarabu 2-0 kule kwao, tena kombe mezani? Nitahama nchi hii.
Mnachukua wapi mkuuu nyie mnaenda Kule kutafuta mshindi wa pili mechi imeisha hapaNa tukichukua hili kombe andika hivi hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi siwazi ya huko...mimi nina ya leo tuu...
Wamepigwaaaaaa