Tusidanganye, Rest in Peace (RIP) haipatikani bure; lazima uishi maisha mema kwanza

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Acheni kiburi cha uzima, mwabuduni Yesu Kristo. Siku za mwisho zipo karibu. Hapa duniani tunapita. Miaka ya kuishi ya mwanadamu ni 60 hadi 80, baada ya hapo anakufa.

Baada ya kifo, ndio mwanzo wa hukumu unaanza hapo. Rest in Peace haipatikani bure; lazima mtu aingie gharama ya kuishi maisha ya kumpendeza Mungu aliyeziumba mbingu na nchi. Maisha yale aliyoyaishi Yesu Kristo. Huwezi kuacha dhambi bila kumfuata Yesu Kristo. Huwezi kuacha dhambi kwa kujiongoza mwenyewe.

Dini za Kiafrika zilikosa sifa ya maisha matakatifu, haziwezi kumpeleka mwanadamu kwenye Rest in Peace. Tubuni ingali bado ni wazima wa afya. Msijifanye welevu wakati hata siku za kuzaliwa kwenu mlikuwa hamzijui. Je, mlijua mtazaliwa lini? Tumwabudu Yesu Kristo.

Yesu ndio njia ya kweli na uzima. Ndiye atakayekufanya mawazo yako yawe mazuri na matakatifu, maneno yako yawe mazuri na matakatifu, na matendo yako yafae mbele za Mungu aliyeziumba mbingu na nchi. Ndiye pekee atakayekufanya uingie peponi, mahali penye amani. Mtu anayestahili Rest in Peace ni mtu yule aliyefanikiwa kufuata maisha ya Yesu Kristo pekee.

Mbali na hivyo, mtu huyo lazima aende kuzimu, kwenye giza na mateso, huku akisubiri hukumu yake ya mwisho. Tuache kiburi. Ukweli ndio huo. Kazi kwako; kupanga ni kuchagua.
 
Acheni kiburi cha uzima mwabuduni yesu kristo. siku za mwisho zipo karibu. hapa duniani tunapita. Miaka ya kuishi ya mwanadamu ni 60 hadi 80 baada ya hapo anakufa. Baada ya kifo ndio mwanzo wa hukumu unaanza hapo. rest in peace haipatikani bure lazima mtu aingie gharama ya kuishi maisha ya kumpendeza mungu aliye ziumba mbingu na nchi maisha yale aliyo ishi yesu kristo. huwezi kuacha dhambi bila kumfwata yesu kristo. huwezi kuacha dhambi kwa kujiongoza mwenyewe.

Dini za kiafrika zilikosa sifa ya maisha matakatifu haziwezi kumpeleka mwanadamu kwenye rest in peace. Tubuni ingali bado ni wazima wa afya msijifanye welevu wakati hata siku za kuzaliwa kwenu mlikua hamzijui.

Je mlijua mtazaliwa lini? tumwabudu yesu kristo, Yesu ndio njia ya kweli na uzima. ndio atakufanya mawazo yako yawe mazuri na matakatifu ndio atakufanya maneno yako yawe mazuri na matakatifu na ndio atafakufanya matendo yako yafae mbele za mungu aliyeziumba mbingu na nchi. ndio pekee atakaye kufanya uingie peponi mahali penye amani.

Mtu anaye stahili rest in peace ni mtu yule aliye fanikiwa kufuata maisha ya yesu kristo pekee. Mbali na hivyo mtu huyo lazima aende kuzimu kwenye giza kwenye mateso huku akisubiri hukumu yake ya mwisho tuache kiburi

Ukweli ndio huo kazi kwako kupanga ni kuchagua
Yesu Kristo sio Mungu
 
Yesu Kristo sio Mungu
Ili ufike kwa Mungu lazima ufuate kwanza mafundisho ya mambo mema lazima ufuate mafundisho matakatifu. Hayo mafundisho ndio yatasafisha mawazo yako yafae mbele za Mungu, mafundisho hayo ndio yatasafisha maneno yako yafae mbele za Mungu. Mawazo na maneno yako yakiwa masafi ndipo matendo yako yatakua masafi na yatafaa mbele za Mungu. Awezaye kukufundisha mawazo mema, maneno mema na matendo mema ni Yesu Kristo pekee aliyeweza kuishi maisha mema yaliyofaa mbele za Mungu. Ndio maana unahimizwa kumfwata Yesu Kristo baada ya hapo Soma biblia (Neno) ukiweza mpaka mwisho umafaulu.
 
1000016767.jpg
 
Hapo sawa, Ile Kusema Yesu ni Mungu ulikosea vibaya Mno
 
Yesu ni Mungu pia. Kwasasa nakushauri endelea kujifunza matendo mema kwanza najua huko mbele utaelewa yule Yesu ndio Mungu mwenyewe. Na Yesu alikuwepo tangu zamani sana hata kabla ya akina Ibrahimu. Kama Yesu anakufundisha kupenda watu hakufundishi kuua ubaya wake upo wapi?
Jaribu kusoma vitabu uujue ukweli mwenyewe.
 
,,,,halafu akauawa na aliowaumba sio?
....vip zile siku tatu alizokua amekufa/kaburini nani alipokea kijiti cha uungu mkuu

Yesu Ndiye Njia Ya Kufika Kwa Mungu​

14 Yesu akawaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu. Mwaminini Mungu, niaminini na mimi pia.
2 Katika nyumba ya baba yangu mna nafasi nyingi. Kama sivyo, nisingeliwaambia kwamba nakwenda kuwaandalia makao.
3 Na nikishawaandalia, nitarudi kuwachukua mkae pamoja nami; ili mahali nilipo, nanyi mpate kuwepo.
4 Ninyi mnajua njia ya kufikia ninakokwenda.”
5 Tomaso akamwuliza, “Bwana, hatujui unakokwenda; tutaijuaje njia?”
6 Yesu akawaam bia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu.
7 Kama mngekuwa mnajua mimi ni nani, mngemfahamu na Baba yangu. Tangu sasa mnamfahamu Baba yangu na mmemwona.”

8 Filipo akamwambia Yesu, “Bwana, tuonyeshe Baba yako nasi tutaridhika.”
9 Yesu akamjibu, “Filipo, imekuwaje hunifahamu baada ya mimi kuwa pamoja nanyi muda wote huu? Mtu ye yote ambaye ameniona mimi, amemwona Baba. Sasa inakuwaje unasema, ‘Tuonyeshe Baba’?
10 Je, huamini ya kuwa mimi niko ndani ya Baba yangu, na Baba yangu yuko ndani yangu? Mambo ninayowaambia siyasemi kwa mamlaka yangu mwenyewe, bali yanatoka kwa Baba yangu ambaye anaishi ndani yangu, na ndiye anayetenda haya yote.
11 Niaminini ninapowaambia ya kuwa mimi ni ndani ya Baba yangu na Baba yangu yu ndani yangu. La sivyo, niaminini kwa sababu ya haya mambo ninayotenda.
12 Ninawaambia hakika, mtu ye yote akiniamini ataweza kufanya miujiza kama hii na hata zaidi, kwa kuwa mimi ninakwenda kwa Baba yangu.
13 Kitu cho chote mtakachoomba kwa jina langu, nitawafanyia, ili Baba yangu apate kutukuzwa kwa yale ambayo mimi Mwanae nitawafanyia.
14 Mkiniomba cho chote kwa jina langu nitawafanyia.”
 
,,,,halafu akauawa na aliowaumba sio?
....vip zile siku tatu alizokua amekufa/kaburini nani alipokea kijiti cha uungu mkuu
Yohana 8
1 [Walikwenda kila mtu nyumbani kwake; naye Yesu akaenda mpaka mlima wa Mizeituni.

2 Hata asubuhi kulipokucha akaingia tena hekaluni, na watu wote wakamwendea; naye akaketi, akawa akiwafundisha.

3 Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati.

4 Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.

5 Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje?

6 Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

7 Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.

8 Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

9 Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati.

10 Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia?

11 Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, Wala mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.]

12 Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.

13 Basi Mafarisayo wakamwambia, Wewe unajishuhudia mwenyewe; ushuhuda wako si kweli.

14 Yesu akajibu, akawaambia, Mimi ningawa ninajishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu ndio kweli; kwa sababu najua nilikotoka na niendako; lakini ninyi hamjui nilikotoka wala niendako.

15 Ninyi mwahukumu kwa kufuata mambo ya mwili; mimi simhukumu mtu.

16 Nami nijapohukumu, hukumu yangu ni kweli; kwa kuwa mimi si peke yangu, bali ni mimi na yeye aliyenipeleka.

17 Tena katika torati yenu imeandikwa kwamba, Ushuhuda wa watu wawili ni kweli.

18 Mimi ndimi ninayejishuhudia mwenyewe, naye Baba aliyenipeleka ananishuhudia.

19 Basi wakamwambia, Yuko wapi Baba yako? Yesu akajibu, Mimi hamnijui, wala Baba yangu hammjui; kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba yangu.

20 Maneno hayo aliyasema alipokuwa akifundisha hekaluni, katika chumba cha hazina; wala hakuna mtu aliyemkamata, kwa sababu saa yake ilikuwa haijaja bado.

21 Basi akawaambia tena, Mimi naondoka, nanyi mtanitafuta; nanyi mtakufa katika dhambi yenu; mimi niendako ninyi hamwezi kuja.

22 Basi Wayahudi wakasema, Je! Atajiua! Kwa kuwa asema, Mimi niendako ninyi hamwezi kuja?

23 Akawaambia, Ninyi ni wa chini, mimi ni wa juu; ninyi ni wa ulimwengu huu, mimi si wa ulimwengu huu.

24 Kwa hiyo naliwaambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye, mtakufa katika dhambi zenu.

25 Basi wakamwambia, U nani wewe? Yesu akawaambia, Hasa neno lilo hilo ninalowaambia.

26 Ninayo mengi ya kusema na kuhukumu juu yenu; lakini yeye aliyenipeleka ni kweli, nami niliyoyasikia kwake, ndiyo ninenayo katika ulimwengu.

27 Wala hawakutambua ya kuwa anawatajia Baba.

28 Basi Yesu akawaambia, Mtakapokuwa mmekwisha kumwinua Mwana wa Adamu, ndipo mtakapofahamu ya kuwa mimi ndiye; na ya kuwa sifanyi neno kwa nafsi yangu, ila kama Baba alivyonifundisha ndivyo ninenavyo.

29 Naye aliyenipeleka yu pamoja nami, hakuniacha peke yangu; kwa sababu nafanya sikuzote yale yampendezayo.

30 Naye alipokuwa akisema hayo, wengi walimwamini.

31 Basi Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, Ninyi mkikaa katika neno langu, mmekuwa wanafunzi wangu kweli kweli;

32 tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.

33 Wakamjibu, Sisi tu uzao wake Ibrahimu, wala hatujawa watumwa wa mtu wakati wo wote; nawe wasemaje, Mtawekwa huru?

34 Yesu akawajibu, Amin, amin, nawaambia, Kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi.

35 Wala mtumwa hakai nyumbani sikuzote; mwana hukaa sikuzote.

36 Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli.

37 Najua ya kuwa ninyi ni uzao wa Ibrahimu lakini mnatafuta kuniua kwa sababu neno langu halimo ndani yenu.

38 Niliyoyaona kwa Baba ndiyo niyanenayo; nanyi vivyo hivyo mliyoyasikia kwa baba yenu ndiyo myatendayo.

39 Wakajibu, wakamwambia, Baba yetu ndiye Ibrahimu! Yesu akawaambia, Kama mngekuwa watoto wa Ibrahimu, mngezitenda kazi zake Ibrahimu.

40 Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivyo.

41 Ninyi mnazitenda kazi za baba yenu. Ndipo walipomwambia, Sisi hatukuzaliwa kwa zinaa; sisi tunaye Baba mmoja, yaani, Mungu.

42 Yesu akawaambia, Kama Mungu angekuwa baba yenu, mngenipenda mimi; kwa maana nalitoka kwa Mungu, nami nimekuja; wala sikuja kwa nafsi yangu, bali yeye ndiye aliyenituma.

43 Mbona hamyafahamu hayo niyasemayo? Ni kwa sababu ninyi hamwezi kulisikia neno langu.

44 Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.

45 Nami, kwa sababu nasema iliyo kweli, hamnisadiki.

46 Ni nani miongoni mwenu anishuhudiaye ya kuwa nina dhambi? Nami nikisema kweli, mbona ninyi hamnisadiki?

47 Yeye aliye wa Mungu huyasikia maneno ya Mungu; hivyo ninyi hamsikii kwa sababu ninyi si wa Mungu.

48 Wayahudi wakajibu, wakamwambia, Je! Sisi hatusemi vema ya kwamba wewe u Msamaria, nawe una pepo?

49 Yesu akajibu, Mimi sina pepo; lakini mimi namheshimu Baba yangu, na ninyi mwanivunjia heshima yangu.

50 Wala mimi siutafuti utukufu wangu; yuko mwenye kutafuta na kuhukumu.

51 Amin, amin, nawaambia, Mtu akilishika neno langu, hataona mauti milele.

52 Basi Wayahudi wakamwambia, Sasa tumeng'amua ya kuwa una pepo. Ibrahimu amekufa, na manabii wamekufa; nawe wasema, Mtu akilishika neno langu, hataonja mauti milele.

53 Wewe u mkuu kuliko baba yetu Ibrahimu, ambaye amekufa? Nao manabii wamekufa. Wajifanya u nani?

54 Yesu akajibu, Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu si kitu; anitukuzaye ni Baba yangu, ambaye ninyi mwanena kuwa ni Mungu wenu.

55 Wala ninyi hamkumjua; lakini mimi namjua. Nikisema ya kwamba simjui, nitakuwa mwongo kama ninyi; lakini namjua, na neno lake nalishika.

56 Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.

57 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?

58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.

59 Basi wakaokota mawe ili wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.
 
Yohana 8
1 [Walikwenda kila mtu nyumbani kwake; naye Yesu akaenda mpaka mlima wa Mizeituni.

2 Hata asubuhi kulipokucha akaingia tena hekaluni, na watu wote wakamwendea; naye akaketi, akawa akiwafundisha.

3 Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati.

4 Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.

5 Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje?

6 Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

7 Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.

8 Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

9 Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati.

10 Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia?

11 Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, Wala mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.]

12 Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.

13 Basi Mafarisayo wakamwambia, Wewe unajishuhudia mwenyewe; ushuhuda wako si kweli.

14 Yesu akajibu, akawaambia, Mimi ningawa ninajishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu ndio kweli; kwa sababu najua nilikotoka na niendako; lakini ninyi hamjui nilikotoka wala niendako.

15 Ninyi mwahukumu kwa kufuata mambo ya mwili; mimi simhukumu mtu.

16 Nami nijapohukumu, hukumu yangu ni kweli; kwa kuwa mimi si peke yangu, bali ni mimi na yeye aliyenipeleka.

17 Tena katika torati yenu imeandikwa kwamba, Ushuhuda wa watu wawili ni kweli.

18 Mimi ndimi ninayejishuhudia mwenyewe, naye Baba aliyenipeleka ananishuhudia.

19 Basi wakamwambia, Yuko wapi Baba yako? Yesu akajibu, Mimi hamnijui, wala Baba yangu hammjui; kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba yangu.

20 Maneno hayo aliyasema alipokuwa akifundisha hekaluni, katika chumba cha hazina; wala hakuna mtu aliyemkamata, kwa sababu saa yake ilikuwa haijaja bado.

21 Basi akawaambia tena, Mimi naondoka, nanyi mtanitafuta; nanyi mtakufa katika dhambi yenu; mimi niendako ninyi hamwezi kuja.

22 Basi Wayahudi wakasema, Je! Atajiua! Kwa kuwa asema, Mimi niendako ninyi hamwezi kuja?

23 Akawaambia, Ninyi ni wa chini, mimi ni wa juu; ninyi ni wa ulimwengu huu, mimi si wa ulimwengu huu.

24 Kwa hiyo naliwaambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye, mtakufa katika dhambi zenu.

25 Basi wakamwambia, U nani wewe? Yesu akawaambia, Hasa neno lilo hilo ninalowaambia.

26 Ninayo mengi ya kusema na kuhukumu juu yenu; lakini yeye aliyenipeleka ni kweli, nami niliyoyasikia kwake, ndiyo ninenayo katika ulimwengu.

27 Wala hawakutambua ya kuwa anawatajia Baba.

28 Basi Yesu akawaambia, Mtakapokuwa mmekwisha kumwinua Mwana wa Adamu, ndipo mtakapofahamu ya kuwa mimi ndiye; na ya kuwa sifanyi neno kwa nafsi yangu, ila kama Baba alivyonifundisha ndivyo ninenavyo.

29 Naye aliyenipeleka yu pamoja nami, hakuniacha peke yangu; kwa sababu nafanya sikuzote yale yampendezayo.

30 Naye alipokuwa akisema hayo, wengi walimwamini.

31 Basi Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, Ninyi mkikaa katika neno langu, mmekuwa wanafunzi wangu kweli kweli;

32 tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.

33 Wakamjibu, Sisi tu uzao wake Ibrahimu, wala hatujawa watumwa wa mtu wakati wo wote; nawe wasemaje, Mtawekwa huru?

34 Yesu akawajibu, Amin, amin, nawaambia, Kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi.

35 Wala mtumwa hakai nyumbani sikuzote; mwana hukaa sikuzote.

36 Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli.

37 Najua ya kuwa ninyi ni uzao wa Ibrahimu lakini mnatafuta kuniua kwa sababu neno langu halimo ndani yenu.

38 Niliyoyaona kwa Baba ndiyo niyanenayo; nanyi vivyo hivyo mliyoyasikia kwa baba yenu ndiyo myatendayo.

39 Wakajibu, wakamwambia, Baba yetu ndiye Ibrahimu! Yesu akawaambia, Kama mngekuwa watoto wa Ibrahimu, mngezitenda kazi zake Ibrahimu.

40 Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivyo.

41 Ninyi mnazitenda kazi za baba yenu. Ndipo walipomwambia, Sisi hatukuzaliwa kwa zinaa; sisi tunaye Baba mmoja, yaani, Mungu.

42 Yesu akawaambia, Kama Mungu angekuwa baba yenu, mngenipenda mimi; kwa maana nalitoka kwa Mungu, nami nimekuja; wala sikuja kwa nafsi yangu, bali yeye ndiye aliyenituma.

43 Mbona hamyafahamu hayo niyasemayo? Ni kwa sababu ninyi hamwezi kulisikia neno langu.

44 Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.

45 Nami, kwa sababu nasema iliyo kweli, hamnisadiki.

46 Ni nani miongoni mwenu anishuhudiaye ya kuwa nina dhambi? Nami nikisema kweli, mbona ninyi hamnisadiki?

47 Yeye aliye wa Mungu huyasikia maneno ya Mungu; hivyo ninyi hamsikii kwa sababu ninyi si wa Mungu.

48 Wayahudi wakajibu, wakamwambia, Je! Sisi hatusemi vema ya kwamba wewe u Msamaria, nawe una pepo?

49 Yesu akajibu, Mimi sina pepo; lakini mimi namheshimu Baba yangu, na ninyi mwanivunjia heshima yangu.

50 Wala mimi siutafuti utukufu wangu; yuko mwenye kutafuta na kuhukumu.

51 Amin, amin, nawaambia, Mtu akilishika neno langu, hataona mauti milele.

52 Basi Wayahudi wakamwambia, Sasa tumeng'amua ya kuwa una pepo. Ibrahimu amekufa, na manabii wamekufa; nawe wasema, Mtu akilishika neno langu, hataonja mauti milele.

53 Wewe u mkuu kuliko baba yetu Ibrahimu, ambaye amekufa? Nao manabii wamekufa. Wajifanya u nani?

54 Yesu akajibu, Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu si kitu; anitukuzaye ni Baba yangu, ambaye ninyi mwanena kuwa ni Mungu wenu.

55 Wala ninyi hamkumjua; lakini mimi namjua. Nikisema ya kwamba simjui, nitakuwa mwongo kama ninyi; lakini namjua, na neno lake nalishika.

56 Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.

57 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?

58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.

59 Basi wakaokota mawe ili wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.
 
Acheni kiburi cha uzima, mwabuduni Yesu Kristo. Siku za mwisho zipo karibu. Hapa duniani tunapita. Miaka ya kuishi ya mwanadamu ni 60 hadi 80, baada ya hapo anakufa.

Baada ya kifo, ndio mwanzo wa hukumu unaanza hapo. Rest in Peace haipatikani bure; lazima mtu aingie gharama ya kuishi maisha ya kumpendeza Mungu aliyeziumba mbingu na nchi. Maisha yale aliyoyaishi Yesu Kristo. Huwezi kuacha dhambi bila kumfuata Yesu Kristo. Huwezi kuacha dhambi kwa kujiongoza mwenyewe.

Dini za Kiafrika zilikosa sifa ya maisha matakatifu, haziwezi kumpeleka mwanadamu kwenye Rest in Peace. Tubuni ingali bado ni wazima wa afya. Msijifanye welevu wakati hata siku za kuzaliwa kwenu mlikuwa hamzijui. Je, mlijua mtazaliwa lini? Tumwabudu Yesu Kristo.

Yesu ndio njia ya kweli na uzima. Ndiye atakayekufanya mawazo yako yawe mazuri na matakatifu, maneno yako yawe mazuri na matakatifu, na matendo yako yafae mbele za Mungu aliyeziumba mbingu na nchi. Ndiye pekee atakayekufanya uingie peponi, mahali penye amani. Mtu anayestahili Rest in Peace ni mtu yule aliyefanikiwa kufuata maisha ya Yesu Kristo pekee.

Mbali na hivyo, mtu huyo lazima aende kuzimu, kwenye giza na mateso, huku akisubiri hukumu yake ya mwisho. Tuache kiburi. Ukweli ndio huo. Kazi kwako; kupanga ni kuchagua.
Ukristo una contradictions nyingi sana nikikuwekea hapa huwezi kumaliza kuzitatua.

Ukitaka kuhubiri dini yako hubiri kwa upole, usihubiri kwa kutufokea tumuabudu huyo Yesu wako sisi wengine tunamuona ni mtu aliyekosa maadili tu.

Huwezi kuthibitisha kwamba kuna hukumu baada ya kifo.

Kama unabisha, thibitisha.
 
Rest in peace ni kitendo cha kuyaishi maandiko ya mathayo sura ya 5
 
Back
Top Bottom